Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Naam,
Baada ya hukumu ya awali iliyotolewa na kakamati ya TFF, Fei akiongozwa na genge lake walisema wataomba revie na ikibidi watajiandaa na kuchukua hatua ya kwenda CAS.
Niltegemea utekelezaji wa walichokisema kuwa ndo jambo sahihi zaidi katika taratibu za kisheria, kwani baada ya hukumu hiyo upande wa klabu ulikaa kimya na KUENDELEA NA TARATIBU ZAKE ZA KILA SIKU BILA FEISAL Kwa mafanikio. Hata ikionekana ameanza kusahaulika miongoni mwa mashabiki.
Jana Mama mzazi wa Feisal alikuja juu na kuanza kulalama kuwa haki itendwe akiwaomba TFF , lakini pia akilalamika kuwa mwanae amenyanyaswa (bila kusema alichonyanyaswa). Ameilaumu klabu na kamati iliyofikia maamuzi , At the same time akiiomba hiyohiyo kamati inayofanya review imuangaliea na kumuhurumia mwanae. Hajaweka fact yoyote wala kanuni au sheria za kuonewa huko.
Kinachoonekana ni kuwa ilitegemewa kuwa kuna kitu kingetokea katika mpango wao, Mfano labda Yanga wangembembeleza na kumpa Mil 20 mshahara, ama angebebwa na kuachiwa huru aende akutakako, klabu ingepata presha ya mashabiki na wapenzi na Mwanae angekuwa kama mfalme au shujaa.
Kilichotokea ni kuwa mwanae yuko benchi na inaonekana atasugua kwa mwaka mmoja na nusu, kwani inahitajika wakae mezani na klabu lakini yeye alipoombwa mwanzo alikataa.Sasa haitegemewi klabu ikubali tena kwani imeshikilia mpini kwa sasa. Fei anahitaji alinde kipaji chake, benchi la muda mrefu bila michezo ya kiushindani lilimuharibia JustineZullu, Hata Bigirimana ameyumba kwa hilo na Sawadogo pia inasemekana ameshuka kiwango kwania ana muda kidogo hajacheza.
Mambo yamekuwa magumu kwa Fei na klabu ikionekana imerelax (Tukumbuke kalabu ni kubwa kuliko mtu yeyote). Sasa mama anaona amepotezewa na mwanae anapotea, Ameamua kutoa POVU NA KUOMBA HURUMA ITUMIKE kwani wapambe wamemsaliti na wamekaa pembeni sasa.
Anyway Fatma Karume anamsaidia Fei kwenye kesi FREE OF CHARGE kwani inaonekana kupambana na timu atapoteza fedha nyingi ama mawakili watakula hela tu wakati kwao hali si ya kawaida na kipato kimepungua.