Baada ya 2015, mpira ukaanzishiwa Ukraine halafu ukahamishiwa October 7

PakiJinja

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
11,689
Reaction score
25,848
Baada ya 2015:, Game likaenda kuazishiwa Ukraine, then likahamishiwa October 7, 2023. Unaona kabsa jinsi gamela uvamizi lililofanywa na Hamas vile lietengenezwa. Haiingii akilini kwamba Shinbet hawakuujua ule mpango. Bado haiingii akilini kwamba jamaa hawajui hostages walipo.

Wameweza kuua viongozi wote wa Hamas na Hezibollah halafu wasijue hostages walipo? Wameweza kujua projects za siri kabisa za Nuclear za Iran halafu wammeshindwa kujua walipowekwa hostages pale Gaza.
Hiidunia watu hujiingiza kwenye mkumbo wa kushangilia wasiyoyajua.

Nimesikia Hezibollah wanataka kubadili harakati zao. Wanataka baadaye wasajiriwe na kutambulika kama Shirika la kutoa misaada ya elimu kwa watoto wa kike.

Kuna faida kubwa sana ya kuujua mchezo chess au draft halafu mbinu hizo ukaweza kuzi apply katika maisha halisi
Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna mateka tena wanaoshikiliwa na Hamas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…