OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni dhahiri kocha kaingozwa chochoHiyo call up yake ilishaonyesha kua yeye sio kocha na kikosi kimeitwa na Kidau,,,hivi kweli huyu kocha alimuona wapi kakolanya?
Timu kaita kazeTutegemee jambo la kuitwa Taifa Stars, huyu Kocha alidanganywa na wale[emoji117]..!
Itakua ni kaze na kidauHaoa katikati kulikuwa na kampeni kubwa sana ya kuonyesha kuwa Simba Sc ni team dhaifu sana, kampeni ambayo ilishirikisha wadau mbalimbali wa michezo, media na baadhi ya viongozi wasiokuwa na utamamu wa akili na fikira.
Ilikuwa ni ngumu sana kwa kocha mgeni kama huyu kuwaacha wachezaji hao bila ya kushauriwa na wajinga wa hapahapa Tz.
Kocha aliitiwa kikosi.
Hata mie nilisema twitter kafanana na NabiHuyu kocha amefanana na Nabi