Baada ya 7, Kocha wa Taifa Stars awaomba msamaha Zimbe na Kapombe

Tutegemee jambo la kuitwa Taifa Stars, huyu Kocha alidanganywa na wale[emoji117]..!
 
Haoa katikati kulikuwa na kampeni kubwa sana ya kuonyesha kuwa Simba Sc ni team dhaifu sana, kampeni ambayo ilishirikisha wadau mbalimbali wa michezo, media na baadhi ya viongozi wasiokuwa na utamamu wa akili na fikira.

Ilikuwa ni ngumu sana kwa kocha mgeni kama huyu kuwaacha wachezaji hao bila ya kushauriwa na wajinga wa hapahapa Tz.

Kocha aliitiwa kikosi.
 
Itakua ni kaze na kidau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…