wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hoja yake huyo niliyem quite ameileta ki uongo uongo inajibiwa kwa uongo wa dizaini hio hio.Kama huelewi acha kuchangia huwezi kuwa degree ya education halafu ukasoma masters ya sheria never ukitaka sheria unaanza upya
Ili kujiponya na taabu yote hii ni kujibu ukweli pekee na ndio utamuweka huru.Kijichanganya ni lazima maana hii kesi Ni ya kutunga. Ni uongo hivyo maswali yatategwa kumfanya ajichanganye aonekane anasema uongo. Time will tell the whole story
Hiyo iko kwenye kabati pale LumumbaSirro anahold phd ya sheria udsm
Akifungwa mnapata faida gani? Kusingizia mtu ni laana.Kesi ya madawa ilo inarejea itatajwa soon ,kumbuka hii ni kesi mama vipo vikesi vidogo vidogo vya kutosha hadi mbowe afungwe
USSR
Kuwaburuza siyo tatizo ndugu yangu! Ishu ngumu ni pale mnapokuwa mashahidi wengi ambapo kila shahidi atatoa ushahidi peke yake.Sirro kuanzia olevel hadi advance alikuwa anawaburuza watu kile ni kichwa hatari angeamua kuingia kwenye siasa angekua mtu mkubwa sana
We always say, in cross examination, only sky is the limit.Kusoma sheria hakuhusiani chochote na cross examination, pale wakili anakuwa uwanja wa nyumbani, Sirro ajiandae.
Sirro anahold phd ya sheria udsm
Sirro kuanzia olevel hadi advance alikuwa anawaburuza watu kile ni kichwa hatari angeamua kuingia kwenye siasa angekua mtu mkubwa sana
Unaona ulivyo 'mjinga' kiwango cha 'upumbavu'?Siro ana shule ya sheria udsm