Baada ya Alkasus, mkongo,pweza, mihogo na nazi mbichi, sasa kuna mende

Baada ya Alkasus, mkongo,pweza, mihogo na nazi mbichi, sasa kuna mende

Toxic Concotion

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
5,760
Reaction score
20,837
Soon tutaanza kuona masela wanawinda mende vyooni badala ya mkongo.

Hili pia ni fundisho la kutokuendekeza kula kula ovyo kwa michepuko. Kutoka mende mpaka kuwekewa kinyesi kabisa ni hatua chache tu. Kidume unajiona unapendwa kwa kukarangiziwa kumbe unalishwa makimba.

Mbaya zaidi kuna maslay queen wataiga hii kwa madanga yao ili waonekane watamu zaidi.
 
Halafu tunashangaa kwanini maradhi ya ajabu ajabu hayaishi kumbe tunalishwa mpaka mende.

Nahisi mimi nishalishwa hadi mjusi maana kuna siku nilipewa ndizi na utumbo nikaona kama mkia wa mjusi ila nikapotezea.

Kina dada tuhurumieni, kama vile kutuma na ya kutolea haitoshi sasa mmekuja na wadudu.
 
Nchi hii ina wajing na wapmbv wengi sana

Ova
Tungojee kuona kwenye vifurushi vya mihogo mibichi na nazi barabarani kumeongozwa na mende sasa. Na vidume vitanunua kwa imani kubwa sana ya kwenda 'kukomoa' sehemu inayotoka kichwa cha binadamu.
 
Back
Top Bottom