kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Unapomuona mtu amezimia/amezirai maana yake kulikuwa na shida kwenye kupeleka damu kwenye sehemu ya ubongo (brain). KAMA damu haifiki au ikipungua sana kufika kwenye ubongo maana yake kutakuwa na ukosefu pia wa Oxygen and glucose (chakula) kwenye ubongo. Ukosefu wa oxygen kwenye ubongo japo kwa dakika chache tu unasababisha uharibifuuharibifu wa tissue za ubongo na upotevu wa kumbukumbu (blackout).
Misuli ya ubongo ikiharibika ni vigumu sana kurudi kwenye utimamu wake wa afya 100% kwa muda mfupi. Na kama ubongo utakosa oxygen kwa dk 4 tu mfululizo inaweza kusababisha uharibifu usiotibika tena (irreversible brain damage). Hivyo, mtu yeyote ambaye imegundulika kuwa amewahi kupoteza kumbukumbu zake hawezi kupewa kazi inayohitaji utimamu mkubwa wa akili. Hapewi kazi zinazohitaji matumizi makubwa ya akili jeshini, ofisini, nk, maana ana uwezekano mkubwa ama wa kuzimia tena, kufanya maamuzi yasiyo sahii, kutamka maneno yasiyokusudiwa au kufanya visivyo sahihi.
Kama Ally Kamwe imethibitika kuwa amewahi kupoteza kumbukumbu kwa muda fulani, sio vema kupewa majukumu makubwa ya taasisi yanayohitaji kufikiria, kuamua, kusema au kutenda kwa usahihi mkubwa sana. Vingine jamii ivumilie tu atakachofanya, sema, amua na kutenda.