Mbona Tz Kuna uchama?
Kama kupiga tundu lissu risasi?Uchama hauna athar km ukabila.
Maana uchama tz upo ktk kuwania uongozi ila sio ktk huduma za kijamii
Kama kupiga tundu lissu risasi?
Ukabila si mbaya kama ule uhayawani mnaotekeleza huko. Unaujua.Hata kenya superstitions zipo.
Tena bora Tz superstition beliefs zipo maeneo flan na kunadhibitiwa watu wanakua civilized mdogo mdogo.
Kuliko tribalism watu wa whole nation of kenya wanabaguana
Ukabila si mbaya kama ule uhayawani mnaotekeleza huko. Unaujua.
Ukabila si mbaya kama ule uhayawani mnaotekeleza huko. Unaujua.
Mudafoka. Leave KIBAKI out of this.Ukabila unafanya taifa liwe disunity ww mke wa mwai kibaki.
Mudafoka. Leave KIBAKI out of this.
Learn to respect your elders and let the dead enjoy their peaceful sleep (his wife) you scoundrel!
Acha kuniongelesha lugha nisizozifahamu wewe.za kiislamu, kiarabu kialshababu."Mudafoka"!!!Which kind of language is this?!
Be wise and talk wisely am not a scoundrel.
Mind your tongue and your makhtum languages.Maahesh limaadha anti tatakallam kal majnuun ?!
Alitandikwa na Nani?We una uhakika Tundulissu alipigwa risasi na ccm?
Alitandikwa na Nani?
Kubishana na mwanamke ni sawa na kupigana na mfu.Acha kuniongelesha lugha nisizozifahamu wewe.za kiislamu, kiarabu kialshababu.
Kumbe mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu uchungu... Ungejua hivyo kabla ya kuniita mke wa Kibaki. Wewe na yule mnyarwanda Richard irakunda hamna adabu. Kama ni kunitukana nitukaneni Mimi .Achaneni na Mwai Kibaki... Na mkewe aendelee kupumzika kwa AMANI.
Ungejua hivyo kabla ya kufungua kinywa chako chenye uvundo wewe zumbukuku.Uwe unaangalia wale unaowanukuu na UACHE UBAGUZI WA KIJINSIAKubishana na mwanamke ni sawa na kupigana na mfu.
Let me keep silent.
Huwezi kupingana na ukweli unafanana na mwai kibaki mamaAcha kuniongelesha lugha nisizozifahamu wewe.za kiislamu, kiarabu kialshababu.
Kumbe mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu uchungu... Ungejua hivyo kabla ya kuniita mke wa Kibaki. Wewe na yule mnyarwanda Richard irakunda hamna adabu. Kama ni kunitukana nitukaneni Mimi .Achaneni na Mwai Kibaki... Na mkewe aendelee kupumzika kwa AMANI.
Bahat mbaya nime type sijazungumza.Ungejua hivyo kabla ya kufungua kinywa chako chenye uvundo wewe zumbukuku.Uwe unaangalia wale unaowanukuu na UACHE UBAGUZI WA KIJINSIA