Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Azam Burudani kwa woteeee
Imebidi Tu nicheke [emoji3][emoji3][emoji3]Mtakoma[emoji23][emoji23]
Hakuna namna mkuu, kwan redio huna??? πππ Saut tutasikia wote ila picha na vitendo watatusimulia mabosππImebidi Tu nicheke [emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna mijitu inajibu Kama Haina akiliHakuna namna mkuu, kwan redio huna??? [emoji23][emoji23][emoji23] Saut tutasikia wote ila picha na vitendo watatusimulia mabos[emoji23][emoji23]
Watu wanalia hata kwenye mambo ya starehe. Hawajui starehe gharama. Mbona K Vant imepanda bei lakini walipa kodi hatujalalamika?Ukishindwa kulipia unaacha, wakiacha kulipia watu wengi wao wenyewe watashusha bei...
Kuna mambo mengine si lazima serikali iyapambanie, hulka tu za wananchi zinatosha kushape baadhi ya mifumo haswa hii ya huduma zitolewazo kwa kutegemea pesa za wananchi...
So Kisa ni bizinezi za Watu basi wasiwe regulated? Sasa ni Wakati upi mlaji anakuwa secured na Serikali?Sasa hayo mambo mengine ni starehe, mkisema kila kitu serikali iingilie itakuwa tabu, hizo ni biashara za watu, unafikiria alipoamua kuweka bilioni 250, ni mchezo, ?na yeye anategemea sana mipira hii ligi kuu.tumeshindwa kusikilizwa kwenye huduma za msingi kama mawasiliano , utegemee huko kwenye starehe?!!kama huwezi huko kuwakomoa usilipie tu.
Acha kulinganisha kvant na vitu Vya HovyoWatu wanalia hata kwenye mambo ya starehe. Hawajui starehe gharama. Mbona K Vant imepanda bei lakini walipa kodi hatujalalamika?
Nakutaka radhi mlipa kodi mwenzanguAcha kulinganisha kvant na vitu Vya Hovyo
Akili za Kike HiziKama vipi unaacha kulipia, unaangalia bure TBC ili unufaike kuangalia mema aliyofanya "mungu" wako aliyededi, bwana mwendazake