Baada ya Bernard konga kamaliza muda wake kama mkurugemzi mkuu NHIF tunashauri na tutegemee nini tunapoelekea kupata DG mpya?

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Aliyekuwa mkurugemzi mkuu NHIF , Bernard konga kamaliza muda wake na nafasi yake amekaimu Grace Temba .

Nini tutegemee katika huu mfuko wa Taifa ambao Changamoto haizawahi kuisha

Na tushauri nini kwa Uongozi mpya au tunaokwenda kupata ?

IMG-20240810-WA0059.jpg
IMG-20240812-WA0004.jpg
 
Msitu ni ule ule ila kuna nyani kiongozi mpya.
 
Wametumia tafsida kusema "anayemaliza muda wake" badala ya kusema katumbuliwa.Kwani ukurugenzi huwa una muda,si hadi anapostaafu?
 
Hii nafasi lazima apewe kutoka kizimkazi
 
Aliyekuwa mkurugemzi mkuu NHIF , Bernard konga kamaliza muda wake na nafasi yake amekaimu Grace Temba .

Nini tutegemee katika huu mfuko wa Taifa ambao Changamoto haizawahi kuisha

Na tushauri nini kwa Uongozi mpya au tunaokwenda kupata ?

View attachment 3067473View attachment 3067475
Huyu alikuwa mpumbavu sana na mwizi sana mfuko umeisha tunatoa Hela nyinyi sana yeye hawezi kusimamia msengerema huyu!
 
Wametumia tafsida kusema "anayemaliza muda wake" badala ya kusema katumbuliwa.Kwani ukurugenzi huwa una muda,si hadi anapostaafu?
Amemaliza mkataba wake kwa mujibu wa ajira aliyopewa

Hajatumbuliwa kabisa
 
Huyu alikuwa mpumbavu sana na mwizi sana mfuko umeisha tunatoa Hela nyinyi sana yeye hawezi kusimamia msengerema huyu!
Na Mkapa alieanzisha huu mfuko nae alikuwa Mpuuzi sana alikwepa kuwatibutibu watumishi wa uma! Jinga sana!
 
Aliyekuwa mkurugemzi mkuu NHIF , Bernard konga kamaliza muda wake na nafasi yake amekaimu Grace Temba .

Nini tutegemee katika huu mfuko wa Taifa ambao Changamoto haizawahi kuisha

Na tushauri nini kwa Uongozi mpya au tunaokwenda kupata ?

View attachment 3067473View attachment 3067475
Matatizo ya usimamizi ndani ya serikali na taasisi zake yanaanzia kwenye namna anavyopatikana mkuu wa taasisi! Kama kweli ipo dhamira njema basi tuanzie hapa..nafasi ya MKURUGENZI NHIF ITANGAZWE watu waombe wasailiwe atakayeshinda apewe nafasi atekeleze kwa uhuru maono yake kuitengeneza NHIF kwa faida ya watanzania.
 
Back
Top Bottom