Baada ya bifu la muda mrefu, Lady jaydee, Dina marios kukutana Live EFM

Jide nae Ana bifu na kila mtu. Ana bifu mpaka na Obama sijui kamkosea nini! Yule alitakiwa aolewe na mkurya mwenzie awe anachezea makonde kila asubuhi ndio angefurahia maisha.
 
Jide nae Ana bifu na kila mtu. Ana bifu mpaka na Obama sijui kamkosea nini! Yule alitakiwa aolewe na mkurya mwenzie awe anachezea makonde kila asubuhi ndio angefurahia maisha.
Kama wao ndo wanamuanzoshia hayo mabifu je??achana na jide wq
 
ebu mwambie huyo, tena nina mimba ya baba ake mzazi
warumi nilikukataza majibu yako hayo please. Be patient sometimes wewe ni kifaa cha nguvu katika JF. Aidha msamehe bure maana si rahisi jina kuoanisha na jinsi ya mtu. Kwa vyovyote vile tunaamini baba yake anaweza kumtia mtu mimba kwani angalau kulikuwa na mimba ya huyo jamaa.
 
wanaume wa dar badala ya kuwaza mambo kila sehemu wanawaza mara jaydee mara dimond ndio maana wengi maskini
Punguza hasira fanya uje ujachelewa" dar ni kama Hollywood hata wasanii wenu wa mikoani inabidi waje huku ili watoboe.
 
Msaada wa maana ya Ndiiii ndiiiii ndiiiii.
 
Msaada wa maana ya Ndiiii ndiiiii ndiiiii.

Jide anamuimba X-husband wake (Gadna Habash) kila anakokwenda anaudindisha tu, yaani Ndii Ndii Ndii. Huyu mama anamatusi!
 
Jide anamuimba X-husband wake (Gadna Habash) kila anakokwenda anaudindisha tu, yaani Ndii Ndii Ndii. Huyu mama anamatusi!
Ndivyo anavyomaanisha ............. ina maana bado anamuwazia Gadna tu,mbona mwenzake keshampotezea.
 
Ndivyo anavyomaanisha ............. ina maana bado anamuwazia Gadna tu,mbona mwenzake keshampotezea.

Bado sana, hawezi kulisahau Ndii Ndii Ndii mwaka huu. Chezea katerero wewe.
 
Kumbe Dina alifukuzwa clouds!
Ilinipita hiyo,

Aisee aibu juu yake.

Komando Jide hana chuki na mtu, ameshamsamehe kitambo.
Jide hana roho hiyo ya kusamehe, ni mtu Fulani wa kinyongo na jeuri, hana upole ila napenda kazi zake sana.
 
Jide ni jasiri sana na ndvyo binadam anavyotakiwa kuwa kama ameweza kutoka katka hili ,..Inshaalah hatoanguka tena, tunavomuombea magu na yeye tumuweke ht kwenye ka mstari ka mwisho
 
Hyoo anajita komandoo wakike sio mchezo bhnaa beef lazima liishee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…