Baada ya bureau de change masonara mjiandae kupokwa

concordile 101

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,379
Reaction score
6,624
Naomba msiniulize kwanini, ila jueni tu baada ya bureau mnaofuata ni nyinyin hapo maana inasemekana sasa hivi watu wamebadili style ya kuchange pesa.

Kuna watu kibao baada ya kushindwa kuhamisha mitaji yao kwa kuchange hela ili wasepe wamehamia kwenye kubadilishana madini.

Iko hivi mtu ananunua dhahabu toka Msumbiji au mkoani sasa na mara nyingi tumekuwa tukiuza kwa masonara. Sasa baadhi ya masonara sasa hiv wanapokea pesa toka kwa matajiri ili inapotokea madini yameletwa aweze kununua na kusepa zake.

Sasa muheshiwa roho mpenda vyote ashazipata habar zenu, anasubir upepo tu ila siku yenu yaja ambapo tutapita tunawanyanganya hizo almasi zenu na hakuna kuandikiana.

Sasa jifanyeni hamsikii wakat sisi hatuna pesa ya uchaguzi.
 
Sonara msilaumu kuwa hamkutarifiwa. Hii ni taarifa rasimi kwenu.
Kwa sasa nimeamini jamii forumu ni kokoro linalovua kila aina ya viumbe wa majini. Maana kila aina ya habari utazipata hapa. Hii habari ni ya ukweri namna matajiri wanayotorosha pesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye kusikia na asikie ....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…