ngoshwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 4,131
- 937
Singependa kuchafua jamvi, kuna mwana JF anayejitambulisha kwa jina tumizi la "BWABWA". Aliingia humu tarehe 20 Jan 2010, 10:17 PM kwa stahili hii:
"BWABWA: Hamjambo Mabibi na Mabwana? Kuanzia leo nitakuwa pamoja na nyinyi, mnipokee vyema, mnikaribishe vyema, mnipe vyenu vya tunu na vya thamani nami nitakupeni vyangu vyote, sina zaidi...thanx.
Kuna baadhi yetu mlitaka kuja yeye ni wa jinsia gani lakini alikuwa wazi toka mwanzoni pale alipomjibu mwenzetu Preta na M-bongot tarehe hiyo hiyo aliyoingia jamvini kuwa yeye ni "SHOGA". kama hivi:
"PRETA:boy or girlie?"
"BWABWA: shoga
"M-Bongot: Kama wewe ni shoga basi kulikuwa na mtu humu anaitwa BASHAWANGU nadhani mkikutana mtakuwa marafiki wazuri sana nyie na atasaidia sana kukutatulia shida zako za nyuma..
BWABWA: nakushukuru sana mbongo kwa kunipa mchongo, kwani hapa jf kuna basha mmoja tu?? (LENGO LA KUULIZIA MABASHA HUMU NDANI, SIJUI, kwani hili ni Jamvi la Waungwana).
21. 10. 00 04:35 PM WAZO Zuri juu wana JF wote walioko DAR
BWABWA : Hamjamboo? sasa ni karibu miezi mitano mimi ni msomaji mzuri wa hapa kabla sijajiunga.Kuna watu wengi humu nawasoma maoni yao;kama Nguli. PakaJimmy, Bujibuji,Masanilo, Ngoshwe,Gambler,Firstlady,Pearl....na wengi sana.Ningependa sana tujuwane physical kuliko hali hii ya kucheka na computer peke yako kama chizi.Kwa hiyo natoa wito/wazo kwa wana JF wote walioko dar tuwe tunakutana sehemu, kama club, bar..au sehemu yoyote mnayopenda nanyinyi mnaweza kupendekeza.Hii itatusaidia sana kuimarisha mahusiano yetu, na pia tutakuwa tunasoma maoni ya humu ndani kwa hisia nzito kutokana na kumjua mhusika. Pia kwa wale ambao ni wapweke wanaweza wakapata wenza humu humu tukaweka historia ya JF. Kama mnavyojua;wachungaji hula madhabahoni mwao, na sisi wana JF hatuna budi......
Mawazo yenu yanakaribishwa!
PJ akamwonya ,
" PAKA JIMMY: Taratibu Mkuu The Boss!..
Lakini Bwana BWABWA, jinalako hili litakuletea usumbufu kiasi..
Kama unaweza fanya mpango ubadilishe, maana kwa uzoefu wa hapa, jina la mtu linawakilisha tabia yake kabisa!
Mwangalie huyo mtu hapo ju anaitwa "The Boss"...si unaona anaendanaendana?..teheeee!
"BWABWA: Asanta Pakajimmy kwa kuni alert na huyo BOSS, kumbe ni mtu hatari!! Huyu Boss ni mtu wa Mwambao au?
Siku hiyo hiyo BWABWA akaibuka na hii:" Haki Za Mashoga!!
BWABWA: Najua wengi mtakuwa na mtazamo hasi juu ya hii habari,kabla sijaanza kueleza juu ya haki za mashoga, ningependa ujue kwa nini mtu anakuwa shoga? Kila mtu atakuwa anajua, unapozaliwa una kuwa na hormons za kike na kiume,unaweza ukazaliwa mwanamme lakini ukawa na hormons za kike nyingi kuliko za kiume, hapo ndipo unapokuwa shoga, na kwa mwanamke ni vice versa. Sasa mtu ana kosa gani kuwa shoga?? Hayo ni maumbile.Afrika tuko nyuma kwa mambo mengi sana,Uganda wametangaza Mashoga wakikamatwa watafungwa jela maisha, majuzi tu Malawi walijitokeza mashoga hadharani, wakakamatwa na kesekwa lupango, Tanzani na Afrika nzima, mashoga wamekuwa wakinyanyaswa na kunyimwa haki zao za msingi.Ningependa mtoe mchango wenu wa mawazo nini kifanyike ili haki iweko juu ya mashoga.
Maisha yameendelea BWABWA akaja na hii, hapa ikwa ni siku mbili tu baada ya kuingia ndani (22nd Jan 2010, 01:25 PM) : "MTARIMBO UMEPINDA"
"BWABWA: Nina dada yangu ameolewa ni miezi 2 sasa, tumezoena sana kiasi ambacho hunipa hata siri zake, kuna jambo linamtatiza kuhusu huyu bwana, akaniulizia na mimi limenishinda na anaogopa kumuuliza mumewe, nikaona bora nililete hapa jamvini kuna wataalam waliobobea kama THE BOSS, na wengineo. Swali ni kuwa huyu mumewe, mtarimbo wake umepinda upande wa kushoto,kwa waliosomea hesabu; yaani sio right angle ni about 45degrees. Alichoniuliza ni kuwa huku kupinda sio tatizo?? Na kama sio tatizo kuna njia yoyote ya kufanya mpaka mtarimbo ukaweza kuwa straight??
Naombeni michango yenu nipate kumsaidia dada yetu.
BWABWA amekuwa muwazi kila mara: akaleta tena hii
"Nilonge.......Nisilonge???"
BWABWA: Jemeni kuna nyimbo moja ya Msondo Ngoma aloimba Tx William, Nadhani wengi wenu humu mtakua mnaijua, inayosema.. "Wanaume tumeumbwa mateso! mateso!...kuhangaika...na kupata shida sana...." Hii nyimbo kila nikiisikia huwa najisemea moyoni. " mmh..afadhali nimehama huko hakufai mateso matupu..", Wanaume wengi siku hizi wakiona maisha yamewashinda, utasikia wamejitundika!! Kwa nini jamani ujiue?? Tafuta namna nyingine ya kuweza kuishi lakini sio kujiua!! Nadhani mpaka hapo utakuwa umeshaelewa namna nyingine ya kuishi.......
WANA JF WAKA HOJI SANAANA…..NDIO BUJIBUJI akauliza tena kupata ukweli
zaaidi toka kwa mhusika "Bwabwa naomba jibu":
"BUJIBUJI" : Jina lako linafanana na zile tabia zilizo sababisha sodoma na gomora zichomwe kwa ndimi za moto kutoka mbinguni. Umekuwa mstari wa mbele kwenye kutete haki za mashoga,ulipokuwa una laani kitendo cha nchi za weusi kufungwa na waarabu ulisema ndio maaana umeamua ujichubue ili kuikimbia laana ya rangi ya ngozi nyeusi.Swali langu ni hili: Je wewe ni shoga?
KAMA MUUMNINI ASIEFICHA UCHA WAKE KWA MUNGU BWABWA ANAJIBU KWA UWAZI:
BWABWA: Asante Bujii, ulonena ni ya kweli, wengi humu jamvini wamekua wakinishangaa, sasa kwa nini nifiche hali niliyokuwa nayo? hiyo ndio hali halisi, hayo ni maumbile.Hamjui kama mficha uchi hazai. Haya mambo bado ni mageni kwa nchi zetu, lakini polepole sasa yanaanza kuenea, mwisho mtazoea tu.Kama kuna mtu yuko serious na mimi, niko teyari hata kutoa namba yangu ya simu tuwasiliane. Swali la nyongeza?...
HOJA: Naomba kutoa hoja hadhi ya huyu mheshimiwa BWABWA itambuliwe hivyo alivyotaka tuitambue na kwa sasa.
Kwa ajili ya mjadala, nini maoni yetu juu ya uamuzi wa kujitangaza kwa huyu Mheshimiwa ndnai ya JF??.