Baada ya Canada kulipiza Kwa kuweka ushuru wa 25% kwenye Umeme , Trump kaongeza Ushuru kutoka 25% Hadi 50% Kwa Chuma na Aluminum ya Canada

Baada ya Canada kulipiza Kwa kuweka ushuru wa 25% kwenye Umeme , Trump kaongeza Ushuru kutoka 25% Hadi 50% Kwa Chuma na Aluminum ya Canada

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Na Mwamba ndo kwanza anazidi kutoa Onyo!!

Inawezekana kwa Trump, Dunia yote ikapigishwa Magoti.



IMG_20250311_223112_956.jpg
 
Mbona mlimpatia Magufuli.
This is a narcissistic personality disorder (NPD) case. Sioni wa kumlinganisha naye. In 2021, as you may recall, this idiot literally set his country on fire just because he lost an election. Kiumbe wa aina gani huyu?
 
Sasa naelewa Trump anajua anachofanya.

Kanada inamvimbia Marekani wakati bajeti inamtegemea kama kupe?

Trump ni kiongozi ambaye ameamua kuondoa maisha ya mazoea.

Jamaa ana hoja nzito sana - asikilizwe, na, nashauri aongezewe ulinzi.

Viongozi kama hawa huwa watu wanawaelewa wakishaondoka madarakani.

Hoja mojawapo ya Trump ni kwamba Kanada imekuwa ikiitoza Marekani kwa muda mrefu ushuru wa 250% hadi 390% kwa bidhaa zitokanazo na maziwa.

Nadhani mambo ya namna hiyo ndiyo yalimkasirisha Trump, ndiyo maana akaamua kuwachokonoa Wakanada hadi wamejaa kwenye mfumo sasa.
 
Canada kazi wanayo huku anapigwa pini na tariffs za Marekani na huku China naye imeipiga tariffs kwa 100% kwenye bidhaa zake muhimu inazo-export China

Kwa Wachina hii ni habari njema kwa sababu serikali ya Canada mwaka 2018 ilikubali kumkamata Meng Wanzhou binti wa CEO wa Huawei, ambaye pia ni CFO wa Huawei kwa order kutoka Marekani alipokuwa Canada.

"It may be dangerous to be America's enemy, but to be America's friend is fatal."
Henry Kissinger (Former U.S secretary of state)
 
Back
Top Bottom