Baada ya Chalamila kuondoka Kariakoo, Wafanyabishara waendeleza mgomo wa kufunga maduka

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kufika Kariakoo na kuzungumza na Wafanyabiashara kuhusu suala lao la kugoma kufungua biashara ambapo amewasisitiza wafungue wakati mazungumzo yakiendelea, hali bado haijabadilika kutokana na biashara nyingi kuendelea kufungwa

photo_2024-06-24_12-55-30 (2).jpg

photo_2024-06-24_12-55-28.jpg

photo_2024-06-24_12-55-29.jpg

photo_2024-06-24_12-55-30.jpg
 
Asilimia kubwa za Wafanyabiashara wameendelea kufunga maduka na sehemu zao nyingine za biashara mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kufika Kariakoo na kuzungumza nao kuhusu mgomo wa kufungua biashara ulioanza leo Juni 24, 2024

View attachment 3024781
Chalamila anapaswa kuondolewa mara moja kutoka katikà nafasi yake ya Ukuu wa Mkoa. Hafai kabisa kuendelea kuwa Kiongozi wa umma katika nchi hii.

Rais anapaswa kumuondoa mara moja, atengue uteuzi wake haraka kwani akiendelea kumuacha anaweza akasababisha vurugu katika nchi hii. Hana kabisa ethics za utatuzi wa Migogoro kwa njia ya kidiplomasia.
 
Mgomo usiokuwa na maandamano barabarani huwa ni mgumu kuumaliza kwa virungu!
Inahitajika busara kuumaliza siyo mabavu.
Serikali irudi mezani na wafanyabiashara kuangalia wapi pande zote zimekwama baada ya mazungumzo yaliyopita.
 
Chalamila anapaswa kuondolewa mara moja kutoka katikà nafasi yake ya Ukuu wa Mkoa. Hafai kabisa kuendelea kuwa Kiongozi wa umma katika nchi hii.

Rais anapaswa kumuondoa mara moja, atengue uteuzi wake haraka kwani akiendelea kumuacha anaweza akasababisha vurugu katika nchi hii. Hana kabisa ethics za utatuzi wa Migogoro kwa njia ya kidiplomasia.
raisii ndo anatakiwa kuondolewa kwanza
 
Chalamila anapaswa kuondolewa mara moja kutoka katikà nafasi yake ya Ukuu wa Mkoa. Hafai kabisa kuendelea kuwa Kiongozi wa umma katika nchi hii.

Rais anapaswa kumuondoa mara moja, atengue uteuzi wake haraka kwani akiendelea kumuacha anaweza akasababisha vurugu katika nchi hii. Hana kabisa ethics za utatuzi wa Migogoro kwa njia ya kidiplomasia.
Chalamila hajawahi kuwa na akili timamu
 
Chalamila anapaswa kuondolewa mara moja kutoka katikà nafasi yake ya Ukuu wa Mkoa. Hafai kabisa kuendelea kuwa Kiongozi wa umma katika nchi hii.

Rais anapaswa kumuondoa mara moja, atengue uteuzi wake haraka kwani akiendelea kumuacha anaweza akasababisha vurugu katika nchi hii. Hana kabisa ethics za utatuzi wa Migogoro kwa njia ya kidiplomasia.
Nani ambaye unamuona anafaa kuwa kiongozi wa umma, wakati hata aliyemteua wote akili zao zinafanana.
 
Back
Top Bottom