Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Chalamila anapaswa kuondolewa mara moja kutoka katikà nafasi yake ya Ukuu wa Mkoa. Hafai kabisa kuendelea kuwa Kiongozi wa umma katika nchi hii.Asilimia kubwa za Wafanyabiashara wameendelea kufunga maduka na sehemu zao nyingine za biashara mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kufika Kariakoo na kuzungumza nao kuhusu mgomo wa kufungua biashara ulioanza leo Juni 24, 2024
View attachment 3024781
Kosa lake nini!?Chalamila anapaswa kuondolewa mara moja kutoka katikà nafasi yake ya Ukuu wa Mkoa. Hafai kabisa kuendelea kuwa Kiongozi wa umma katika nchi hii.
Halafu utashngaa ng'ombe wa nyuma ndiye anayepigwa!Kosa lake nini!?
Aondolewe ng'ombe wa mbele anayechelewesha ng'ombe wa nyuma.
Ana kauli chafu sana zinazohamasisha watu kujichukulia Sheria mikononi ili kupambana naye.Kosa lake nini!?
Aondolewe ng'ombe wa mbele anayechelewesha ng'ombe wa nyuma.
raisii ndo anatakiwa kuondolewa kwanzaChalamila anapaswa kuondolewa mara moja kutoka katikà nafasi yake ya Ukuu wa Mkoa. Hafai kabisa kuendelea kuwa Kiongozi wa umma katika nchi hii.
Rais anapaswa kumuondoa mara moja, atengue uteuzi wake haraka kwani akiendelea kumuacha anaweza akasababisha vurugu katika nchi hii. Hana kabisa ethics za utatuzi wa Migogoro kwa njia ya kidiplomasia.
Chalamila hajawahi kuwa na akili timamuChalamila anapaswa kuondolewa mara moja kutoka katikà nafasi yake ya Ukuu wa Mkoa. Hafai kabisa kuendelea kuwa Kiongozi wa umma katika nchi hii.
Rais anapaswa kumuondoa mara moja, atengue uteuzi wake haraka kwani akiendelea kumuacha anaweza akasababisha vurugu katika nchi hii. Hana kabisa ethics za utatuzi wa Migogoro kwa njia ya kidiplomasia.
Dharau kwa walipa kodiAna kauli chafu sana zinazohamasisha watu kuchukua Sheria mikononi ili kupambana naye.
Nakubaliana na weweraisii ndo anatakiwa kuondolewa kwanza
Nani ambaye unamuona anafaa kuwa kiongozi wa umma, wakati hata aliyemteua wote akili zao zinafanana.Chalamila anapaswa kuondolewa mara moja kutoka katikà nafasi yake ya Ukuu wa Mkoa. Hafai kabisa kuendelea kuwa Kiongozi wa umma katika nchi hii.
Rais anapaswa kumuondoa mara moja, atengue uteuzi wake haraka kwani akiendelea kumuacha anaweza akasababisha vurugu katika nchi hii. Hana kabisa ethics za utatuzi wa Migogoro kwa njia ya kidiplomasia.
Mungu wabariki WafanyabiasharaBaada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kufika Kariakoo na kuzungumza na Wafanyabiashara kuhusu suala lao la kugoma kufungua biashara ambapo amewasisitiza wafungue wakati mazungumzo yakiendelea, hali bado haijabadilika kutokana na biashara nyingi kuendelea kufungwa
Kasema wakufungua wafungue na wakufunga wafunga mpaka mazungumzo yatakapokamilika na biashara zao atazipa ulinzi zitakuwa salama.Nadhani wamechagua kufungaTunawasubiri hao wajeda wake waje na vifaru na mizinga kufungua maduka
Yeye kaongea na machingaBaada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kufika Kariakoo na kuzungumza na Wafanyabiashara kuhusu suala lao la kugoma kufungua biashara ambapo amewasisitiza wafungue wakati mazungumzo yakiendelea, hali bado haijabadilika kutokana na biashara nyingi kuendelea kufungwa