stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Nimekuwa nikifuatilia upokeaji wa chanjo ya corona Kenya toka ilipoanza kutolewa, hii ikanifanya nimtafute rafiki yangu wa Kenya kumuuliza kama wanaendelea kuvaa barakoa baada ya chanjo, na cha ajabu nilishtuka kupata jibu kwamba lazima uendelee kuvaa barakoa hata kama una certificate ya chanjo!
- Kidogo napata wasiwasi kuhusu utendaji kazi wa hii chanjo haswa pale ninaposkia watu wanakufa na Corona hata baada ya kupata chanjo
Kwa wale wengine ambao mpo diaspora tupeni mrejesho
- Kidogo napata wasiwasi kuhusu utendaji kazi wa hii chanjo haswa pale ninaposkia watu wanakufa na Corona hata baada ya kupata chanjo
Kwa wale wengine ambao mpo diaspora tupeni mrejesho