Akili yako ni fupi sana.Nimekuwa nikifuatilia upokeaji wa chanjo ya corona Kenya toka ilipoanza kutolewa, hii ikanifanya nimtafute rafiki yangu wa Kenya kumuuliza kama wanaendelea kuvaa barakoa baada ya chanjo, na cha ajabu nilishtuka kupata jibu kwamba lazima uendelee kuvaa barakoa hata kama una certificate ya chanjo!
- Kidogo napata wasiwasi kuhusu utendaji kazi wa hii chanjo haswa pale ninaposkia watu wanakufa na Corona hata baada ya kupata chanjo
Kwa wale wengine ambao mpo diaspora tupeni mrejesho
huna akili ndiyo maana unapayuka bila sababu sasa kama chanjo inaenda kujenga nguvu za mwili kupambana na ugonjwa utaambukizwaje tena wakati tayari kinga unayo ya kutosha?Akili yako ni fupi sana.
Kama umeiweka akili yako kupinga chanjo hata ueleweshweje hutoelewa.
Chanjo inaenda kujemga mwili ili uweze kupambana na virusi.
Chanjo sio dawa ya corona.
Acha upimbi na umeko.
Mnatupotezea muda kuanza kuelewesha majitu ambayo hayataki yaelewe.
Akili yako ni fupi sana.

Chanjo haikuzuii kubeba virusi vya Korona kwa sababu viko nje ya mwili wako, chanji inazuia wewe kuugua. MTU aliyechanjwa anaweza kuvibeba virusi na kumpa mtu mwingine. Endelea kuchukua tahadhari ya kunawa mara kwa mara.Nimekuwa nikifuatilia upokeaji wa chanjo ya corona Kenya toka ilipoanza kutolewa, hii ikanifanya nimtafute rafiki yangu wa Kenya kumuuliza kama wanaendelea kuvaa barakoa baada ya chanjo, na cha ajabu nilishtuka kupata jibu kwamba lazima uendelee kuvaa barakoa hata kama una certificate ya chanjo!
- Kidogo napata wasiwasi kuhusu utendaji kazi wa hii chanjo haswa pale ninaposkia watu wanakufa na Corona hata baada ya kupata chanjo
Kwa wale wengine ambao mpo diaspora tupeni mrejesho
Unaweza usipate ila utavibeba virusi na kumpa ambaye hajachanjwa.kwahio tuseme hata baada ya chanjo lazima bado utapata corona?
Nini maana ya chanjo sasa?Akili yako ni fupi sana.
Kama umeiweka akili yako kupinga chanjo hata ueleweshweje hutoelewa.
Chanjo inaenda kujemga mwili ili uweze kupambana na virusi.
Chanjo sio dawa ya corona.
Acha upimbi na umeko.
Mnatupotezea muda kuanza kuelewesha majitu ambayo hayataki yaelewe.
Bila kisahau kukaa ndani.Ulaya naona wameanza lockdown kwa mara nyingine,BBC juzi wametangaza wimbi la tatu la maambukizi ambalo litakuwa baya kuliko la kwanza na la pili.Nimekuwa nikifuatilia upokeaji wa chanjo ya corona Kenya toka ilipoanza kutolewa, hii ikanifanya nimtafute rafiki yangu wa Kenya kumuuliza kama wanaendelea kuvaa barakoa baada ya chanjo, na cha ajabu nilishtuka kupata jibu kwamba lazima uendelee kuvaa barakoa hata kama una certificate ya chanjo!
- Kidogo napata wasiwasi kuhusu utendaji kazi wa hii chanjo haswa pale ninaposkia watu wanakufa na Corona hata baada ya kupata chanjo
Kwa wale wengine ambao mpo diaspora tupeni mrejesho
Ask yourselfNini maana ya chanjo sasa?
Unataka kusema nini?Ujerumani baada ya watu kuanza kupata chanjo na Corona kaanza kupamba moto
Wanatangaza kurudisha marufuku kadhaa
Kwaheri Mwamba katika miamba ya Africa Dr JPM
Yaani wapumbavu kama wewe huwa naona uvivu kuwaelewesha.huna akili ndiyo maana unapayuka bila sababu sasa kama chanjo inaenda kujenga nguvu za mwili kupambana na ugonjwa utaambukizwaje tena wakati tayari kinga unayo ya kutosha?
Yaani wapumbavu kama wewe huwa naona uvivu kuwaelewesha.
Ukichomwa sindano ya chanjo haiende moja kwa moja kuusaidia mwili kutengeneza kinga.
Inachukua muda. ( katafiti mwenyewe )
Na chanjo zingina unatakiwa urudie kuchoma baada ya wiki tatu.
WaZiri mkuu wa Pakistani alichoma sindano ila akaipata korona.
Walivyotafiti wakasema alikuwa ameshaambukizwa kabla ya kuchoma.
Ila wewe kama huamini korono nani kakulazimisha kuchoma sindano? Au kuvaa barakoa?
Hamjalazimishwa ila msitupangie sisi ambao tunaitaka chanjo
Kenge ww. Sitapoteza muda kukuelewesha tena maana ww ni mkaidi kama meko
Unataka kusema nini?