Baada ya Chelsea kuruhusiwa kusajili uongozi wa Chelsea umempa lampard paund mil 150 za usajil

Baada ya Chelsea kuruhusiwa kusajili uongozi wa Chelsea umempa lampard paund mil 150 za usajil

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Baada ya Chelsea kuruhusiwa kusajili uongozi wa Chelsea umempa lampard paund mil 150 za usajili.Lampard amesema atasajili maeneo machache sana ambayo ameona Yana upungufu ndo maana nimewaambia uongozi wasinipe hela nyingi sana.
 
Huyu jamaa ile nyota ya Torres ya kupendwa na mmiliki wa chelsea inamnyemelea kwa kasi kubwa sana... Anaweza akamwacha hata akiporomosha timu yake kule daraja la kwanza... Natamani Lampard awe Makonda (D.A.B) wa pale Chelsea, awe muda wote anaaminiwa na bosi
 
Back
Top Bottom