Huyu jamaa ile nyota ya Torres ya kupendwa na mmiliki wa chelsea inamnyemelea kwa kasi kubwa sana... Anaweza akamwacha hata akiporomosha timu yake kule daraja la kwanza... Natamani Lampard awe Makonda (D.A.B) wa pale Chelsea, awe muda wote anaaminiwa na bosi