Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Saida ni zaidi ya msanii.kama hauelewi tafuta dictionary ya kihaya.mi niko tofauti na wengi sana kuhusu saida hivi kipi kinakufanya ushabikie mziki wa saida au mziki wa kihaya???
Daily media zinahamasisha matumiz ya kiswhil ila leo promo kubwa ni kwa mwanamziki mhaya lugha had swag ni mhaya,
TUKUMBUKE TUNAYOYATOLEA MISHIPA
....Tatizo la waimba kiswahili nao nyimbo wanajua ni mapenzi tuu if maisha ni mapenzi tuumi niko tofauti na wengi sana kuhusu saida hivi kipi kinakufanya ushabikie mziki wa saida au mziki wa kihaya???
Daily media zinahamasisha matumiz ya kiswhil ila leo promo kubwa ni kwa mwanamziki mhaya lugha had swag ni mhaya,
TUKUMBUKE TUNAYOYATOLEA MISHIPA
Kalori ni tofauti na singeli, alafu mie namkubali sana producer wa saida, ana beats fulani hivi nzito za kitamaduni na kipekee.Saida yuko vizur ni mwanamuziki ila promo anayopata na game la sasa sidhan ka ataweza himili wanamtwika mzigo mkubwa ambao hawezi yuko lakin kwa sasa nafasi yake haipo,,,,,,, ka mnakumbuka hao mawingu walishikia bendera singeli hadi akina man fongo wakatamba kutaka kuupeleka muziki huo nje kwa kupewa promo kubwa sasa wako wapi,,,,,,, hata saida hatodum atabaki kurudia nyimbo zake na kuzidisha mi makeups ili aonekane binti ila kachoka,,,,,,wakat ukuta
Hivi kwa nini kitufe cha DISLIKE hamna hapa??mi niko tofauti na wengi sana kuhusu saida hivi kipi kinakufanya ushabikie mziki wa saida au mziki wa kihaya???
Daily media zinahamasisha matumiz ya kiswhil ila leo promo kubwa ni kwa mwanamziki mhaya lugha had swag ni mhaya,
TUKUMBUKE TUNAYOYATOLEA MISHIPA
Huenda ukawa na homa haupendi asili kuliko nyimbo za akina yo-yo-yo-.... Unamaanisha Wamasai waache shuka na staili zao za nywele wavae suruali na shati na kunyoa kiduku?mi niko tofauti na wengi sana kuhusu saida hivi kipi kinakufanya ushabikie mziki wa saida au mziki wa kihaya???
Daily media zinahamasisha matumiz ya kiswhil ila leo promo kubwa ni kwa mwanamziki mhaya lugha had swag ni mhaya,
TUKUMBUKE TUNAYOYATOLEA MISHIPA
Wanataka kumpuna tena kama kipindi kileeee