Tetesi: Baada ya Clouds kumpa promo ya nguvu Saida Karoli, E FM nao kumtoa Mr. Nice

Nimekuja muji wa daudi week sasa saida anapiga wapi hiyo show nikayarudi manyanga kabla sija rudi sumbakalesa
 
Hee! Mhhhh vipi mkuu,unamatatizo na lugha za asili?
 
Baada ya kututolea vipaji vipya mnaenda kufufua wazee, sasa MTU kama Mr Nice wa nini?

Muda wa mr nice ulishapita hivyo hata afanye nini kurudi kama Mr nice yule wa zamani aliyekuwa anafunga mitaa ni ndoto.

Tuwe tunakubali tu muda wetu ukipita basi tufanye shuguli nyingine.
 
Umuofia kwenu wakulu,
Baada ya Clouds kumpa promo ya nguvu Saida Karoli na kumrudisha kwenye gemu ya muziki kwa kishindo,inasemakana lakini, E-Fm ya Dar nayo imepanga kumrudisha Mr. Nice!

Clouds imempa promo saida Tanzania nzima wakasikia, sasa E Fm inataka kumpaisha mr Nice Dar tu?
 
Nimeusikiliza wimbo mpya wa Saida...aisee yule kipaji alipewa.
 
Woiwoiwooo woiwoiwoiwoo, sale sale maua asiyejua kuchagua kabila lakeeee. Mr Nice 1:2-5
 
Kama msanii alipotea kwenye mziki kwanini watumie nguvu kubwaa kuwaludisha wakati wanatambulika na jamii?
Mimi naona wangeweka nguvu kwa wasanii wachanga/wasiotambulika, ila sio Saida wala Mr. Nice ambao walijulikana ndan na nje ya nchi hawa watumie uwezo wao/mzik mzur sababu washajulikana kitambo hikoo
 
Mr Nice Clouds wenywe walishindwa yule basi tena
 


Hahahaha nimecheka hapo kwenye makeups ,ila wakina manfongo wametolewa na efm clouds walidandia tu treni kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…