Tetesi: Baada ya Clouds kumpa promo ya nguvu Saida Karoli, E FM nao kumtoa Mr. Nice

Redio ya kihaya
 
Wenye wivu wajinyonge... acha wivu mkuu!
 
The strongest man is the one who stands alone!!! Ila punguza chuki kwa wahaya
 
Kila mtu sikuhizi ni mtaalamu wa kunyapia
 
Mkuu na wewe imba taarabu yako kwa kisukuma hakuna aliyekukataza.
 
Vipi kuhusu wanAoshabikia nyimbo za kingeleza....
 
Imesikia pia Inspekta Haroun atapewa promo na Radio One huku Juma Nature akiandaliwa promo na TBC fm
 
ila nguvu ya media bana c mchezo kabisa kama hadi saida kasimama tena basi hata mr takeu inaezekana kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…