wehoodie
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 1,031
- 1,013
Wanasema siku zote katika biashara na ujasiriamali wanaofanikiwa ni wale wanaoweza kuyaona mabadiliko na kuweza kuchukua hatua za kubadilika kufuatana na hayo mabadiliko. Mfano mzuri ni kampuni ya simu ya Nokia ambayo ilikuwa kampuni kubwa duniani kwa uuzaji wa simu haswa za bei ya chini na ambazo zilijikita kwenye mawasiliano tu.
Lakini mabadiliko ya teknolojia yakasabaisha watu waanze kutumia simu za kisasa (smart phones), Nokia hawakutarajia haya mabadiliko na hivyo....kushindwa kumudu ushindani kutoka Samsung, Apple, HTC, BlackBerry ambao tayari waliwekeza katika simu za kisasa...hivi majuzi, Nokia imenunuliwa na Microsoft kwa bei ya kutupwa baada ya kushindwa kujiendesha.......
Sasa nikirudi kwenye swali langu la msingi ni kuwa, je kwa wale ambao mpo summatra, na mnaohusika kwa ukaribu na ujenzi wa miundombinu wa barabara za mabasi kasi, hivi hayo mabasi kasi yataletwa na nani? Je haya madalaala yaliopo bado yataendelea kufanya kazi? Je biashara hiyo itaendlea kuendeshwa kama ilivyo sasa???
Ahsanteni....