Teh teh.. kiba amewatoa jasho la meno sasa mmeanza na Davido..
Hii ni huko Paris,Ufaransa
Hebu tufahamishe wewe data utakuwa nazoKwani ni nani mwenye hati miliki na huo wimbo ?
Tatizo mkifanya ujinga huko kwa watu mnaliharibia sifa taifa zima tunaonekana wote ni wajinga kumbe ni nyie wapuuzi wachache na mambo yenu ya uswaziKwani Diamond haupigagi huu wimbo??
kiba ha ha ha ha haTeh teh.. kiba amewatoa jasho la meno sasa mmeanza na Davido..
Huyo ndo atawazika kabisa tuwasahau tena umenikumbusha ule wimbo wake wa Africas coolest kids hebu niusikilize kidogo
Ni sawa pia... endeleeni na Darasakiba ha ha ha ha ha
siku hizi ni diamond vs darassa kiba anapotea
Na nyie huwa hata hamjishitukii mnapo mfanananisha Diamond na Alikiba? Upuuzi mwingine muwe majaribu kuuficha. Kiba ana nini cha kuweza kumfikia Diamond? Ifike mahali muache kulinganisha Cessna 172 Skyhawk na Boeing 787-8. Mwambie Alikiba atengeneze kwanza soko la muziki wake badala ya kufikiria Diamond ambaye yupo mbali kimuziki na mafanikio.Teh teh.. kiba amewatoa jasho la meno sasa mmeanza na Davido..
Huyo ndo atawazika kabisa tuwasahau tena umenikumbusha ule wimbo wake wa Africas coolest kids hebu niusikilize kidogo
Hahahah noma sana.Mtu anapiga show Paris unasema kabuma?? [HASHTAG]#SMDH[/HASHTAG]
Bila shaka umeanza kumashabikia huyo aliyezawadiwa tuzo tatu jana, maana ungekuwa ni shabiki wake wa siku zote ungeona aibu kama wenzako ambao kwa sasa wameshaachana nae na kumfananisha na MOND.Teh teh.. kiba amewatoa jasho la meno sasa mmeanza na Davido..
Huyo ndo atawazika kabisa tuwasahau tena umenikumbusha ule wimbo wake wa Africas coolest kids hebu niusikilize kidogo
Hayo maneno kwa kuwa hulipii VAT ongea tuBila shaka umeanza kumashabikia huyo aliyezawadiwa tuzo tatu jana, maana ungekuwa ni shabiki wake wa siku zote ungeona aibu kama wenzako ambao kwa sasa wameshaachana nae na kumfananisha na MOND.
Kwani ulipoongea wewe ulilipia ..........Kiba hana anachomfikia DIAMOND kwa lolote wenzako walishaachaga kumfananisha na mtu anayefanya shoo popote Africa na akajaza akapata shangwe la kutosha,sasa huyo jamaa yako shoo zake ni za bongo tena za matukio (sio rasmi kwa ajilia yake) na akienda nje basi ni Mombasa na zenyewe za matukio sio rasmi kwaajili yake,au awe msindikizaji kwa kuchomekwa na yule ndugu yake wa Mombasa. Acha kufananisha baiskeli na private jet unafeli, kisa eti vyote vyombo vya usafiri.Hayo maneno kwa kuwa hulipii VAT ongea tu
We jamaa una matatizo mi sijawahi kuanzisha thread eti kumponda Diamond au kumfananisha na kiba ila huwa mnakera hamuwezi mkamuongelea boss wenu bila kumtaja kiba wakati at the same time mi mwenyewe binafsi simkubali bosi wenu.. hata mkishinda tuzo basi lazima mrushe vijembe nyie wanaume wa wapi? Mi nafikiri mshauriane mfocus kwenye mambo yenu muache mipasho mara hawatoweza, mara wanakodoa kodo, mara wamekaa.... mambo ya kiswahili haya umasikini wa fikra mbaya sanaKwani ulipoongea wewe ulilipia ..........Kiba hana anachomfikia DIAMOND kwa lolote wenzako walishaachaga kumfananisha na mtu anayefanya shoo popote Africa na akajaza akapata shangwe la kutosha,sasa huyo jamaa yako shoo zake ni za bongo tena za matukio (sio rasmi kwa ajilia yake) na akienda nje basi ni Mombasa na zenyewe za matukio sio rasmi kwaajili yake,au awe msindikizaji kwa kuchomekwa na yule ndugu yake wa Mombasa. Acha kufananisha baiskeli na private jet unafeli, kisa eti vyote vyombo vya usafiri.