Baada ya Davido kubuma aanza kuimba nyimbo za Diamond kwenye show zake

Bila davido domo asingekuwepo hapa alipo,davido alimuonyesha njia na domo akatusua
 
Sasa kubuma kwa davido kuna uhusiano gani n kiba
Davido amebuma? ebu acheni upuuzi Davido masanii mkubwa sana hawezi tegemea nyimbo1 tu tena aliyoshirikishwa
 
Hayo ni mambo ya kusadikika mara ametumia Id feki, mara wa kuja na kuondoka... Msimkane mtoa mada anaonekana kabisa ni fan wa Diamond
 
Bro umemaliza...upo smart sana unawachana timu bushman
 
Hayo ni mambo ya kusadikika mara ametumia Id feki, mara wa kuja na kuondoka... Msimkane mtoa mada anaonekana kabisa ni fan wa Diamond
Siyo mshabiki wa Daimond Huyo..vishabiki vya bushman hvyo
 
Hayo ni mambo ya kusadikika mara ametumia Id feki, mara wa kuja na kuondoka... Msimkane mtoa mada anaonekana kabisa ni fan wa Diamond
Sina haja ya kubishana na mambo yaliyo wazi... inawezekana na wewe si mteja wa mara kwa mara wa hili jukwaa manake ikiwa unashindwa hata kufahamu waliompinga ni mashabiki wa nani basi unaonekana wazi hufahamu nani yupo kambi ipi!!! Ulichoweza kudhihirisha ni kwamba akisemwa Kiba huwa inakuuma na upo tayari kuleta habari za Kiba hata kwenye mada isiyomuhusu Kiba!
 
Mnapotezana wote na boss wenu hamuangalii upande wa pili... na ofcourse nyie ni mashabiki akibuma tu mnajump the ship na mnakuwa wa kwanza kucritisize... mi nacheki movie tu ngoma ikivuma sana hupasuka
Kama Diamond anapotea kwanini usifurahi? Tuseme unamuonea huruma au, teh.
 
Hayo uliyoongea yanafanyakazi pia kwa kiba,maana nyinyi mnamsifia sana na sisi wengine tunamponda sana kwahiyo kama ni kupotea na nyinyi mnampoteza kiba na kesho akibuma mnajump the ship mnakuwa wa kwanza kucritisize ..... mi nacheki movie tu ngoma ikivuma sana hupasuka ...........Na amini ninachokuambia sisi tunaomponda sana ndiotuna nia ya njema nae ........Mzazi akikuchapa unaona anakuonea hakupendi lakini anaona mbali lengo ni kukurekebisha ukae kwenye mstari.
 
Itakuwa Diamond . .unless alimuuzia . .I hope not . ..good song indeed
Hilo halina japo chembe ya shaka... ile ngoma sio Diamond & Davido bali ni Diamond ft Davido
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…