maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Baada ya DAWASA kuamua kutotoa huduma ya maji kwa muda mrefu ambapo kwa baadhi ya maeneo tayari maji hayajatoka kwa zaidi ya miezi miwili na hamna aliewajibishwa kwa hili wala kiongozi wa serikali aliekemea, Tanesco nao wameanza kuonesha umuhimu wao kwa kuzima umeme mida ya jioni mara kadhaa na kurudisha baadae kwa hizi siku mbili.
So far nao hawajatoa ufafanuzi wowote kwa kua hizi zama sio zile za kuogopana, kufuatiliana na kutumbuana kiholela.
Tunachowashuru Tanesco wao wanahuruma na utu maana hawatuachi kuisoma namba muda mrefu kama hawa wenzao DAWASA ambao hata bila aibu wanatuma na bili za maji wakati wanajua hayatoki kitambo... Mweh!