baada ya dem kumpa ukweli,maumivu ya moyo yamemzidi! msaada pls!

baada ya dem kumpa ukweli,maumivu ya moyo yamemzidi! msaada pls!

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,168
Reaction score
1,549
demu kasema ni kweli alilala na mtu mwingine ili apate mimba baada ya kuona anachelewa kuzaa! jamaa kachukia na anataka kumpiga chini ila anampenda sana. Ushauri no jokes pls!
 
Vp amefanikiwa kupata mimba habar yako ipo ki jokes nawe utak jokes katka majibu
 
Vp amefanikiwa kupata mimba habar yako ipo ki jokes nawe utak jokes katka majibu

Aaa wapi! hajapata mimba wala nn ila kilichomuudhi ni ushauri mbaya alopata kwa best yake wa kike ambaye alifurahia sana mgogoro ule hadi binti huyu akachukia na kuamua kusema bayana!
 
Sasa tumshauri nini?yeye mwenyewe anatakiwa kuchagua moja kati ya kuendelea nae au kumwacha...simple and clear!
 
Funguka uchukue maamuzi magumu haraka.
 
mwambie aje hapa aelezwe vizuri.. habari za kusimuliana si nzuri sana
 
hakuna cha kupenda wala nini, kama mtu kafikia hatua ya kugawa mbunye nje, piga chini haraka
 
Samehe saba mara sabini, manake na yeye kuna siku atauhitaji msamaha wa haja kama huo. Akazane tu kumgawia hiyo mimba.
 
Back
Top Bottom