demu kasema ni kweli alilala na mtu mwingine ili apate mimba baada ya kuona anachelewa kuzaa! jamaa kachukia na anataka kumpiga chini ila anampenda sana. Ushauri no jokes pls!
Aaa wapi! hajapata mimba wala nn ila kilichomuudhi ni ushauri mbaya alopata kwa best yake wa kike ambaye alifurahia sana mgogoro ule hadi binti huyu akachukia na kuamua kusema bayana!