Baada ya Diamond platnumz kuonekana moja ya club ambayo Chris Brown alikuwa akifanya Show

Baada ya Diamond platnumz kuonekana moja ya club ambayo Chris Brown alikuwa akifanya Show

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Wabongo bhana.....
Diamondplatnumz baada ya kuonekana kwenye moja ya club uko london akiwa anashuhudia show ya msanii nguli wa Rnb na pop/ Chris Brown, wabongo wamekuja na lao jambo kuwa tiyari Diamondplatnumz ashafanya wimbo na Chris Brown... kweli Tunaushabik wa kidenzi sana 😁😁😁 nimecheka sana.

📌 Diamondplatnumz niwambiaga bado anajitafuta kiukweli na bado wasanii wa Nigeria watazidi kutupiga chini kwa upuuzi kama huu. Fanya kitu kizuri acha shobo mtu atakucheki...
Hakuna cha kolabo wa nini.
 
Ili upate spotlight bongo mseme chibu!
Uzuri hana mbaya ukimponda san anakuajili kua chawa wake
 
Wabongo bhana.....
Diamondplatnumz baada ya kuonekana kwenye moja ya club uko london akiwa anashuhudia show ya msanii nguli wa Rnb na pop/ Chris Brown, wabongo wamekuja na lao jambo kuwa tiyari Diamondplatnumz ashafanya wimbo na Chris Brown... kweli Tunaushabik wa kidenzi sana [emoji16][emoji16][emoji16] nimecheka sana.

[emoji419] Diamondplatnumz niwambiaga bado anajitafuta kiukweli na bado wasanii wa Nigeria watazidi kutupiga chini kwa upuuzi kama huu. Fanya kitu kizuri acha shobo mtu atakucheki...
Hakuna cha kolabo wa nini.
View attachment 2527703

Hahahaaaa!! Uliza wenyeji huku sio FESIBUKU
IMG_7847.jpg

Karbu.
 
Back
Top Bottom