Baada ya Diamond Platnumz kutangaza kuhamia rasmi Yanga SC nami nina huu Ujumbe muhimu kwake

Homon za kike katika ubora wake,daimond haitaji kubebwa na ccm 2025! hakuna alichobakiza katika maisha yake,labda ccm ndio wanahitaji kubebwa na daimond platnumz! kuhama timu ya mpira wa miguu haina mahusiano yoyote na chochote ulichoandika hapa usiwe na gubu wewe ni mtoto wa kiume! simba sio mama yako,
 
Mi nilihama kutoka Liverpool kwenda ManU sasa hivi nahamia Arsenal nikiona wanabeba kombe next week! Chama la ushindi ndio Huwa natembea nalo sitaki stress na pressure za kufungwa fungwa na Azam , mara Mbeya city mara Kagera!
 
Wenzetu wanatumia hii fans base kubwa ya Simba na Yanga kujinufaisha kimaisha GENTAMYCINE upo unapiga soga jf😅... Mjini akili usimba na uyanga ni ulevi usio na faida, acha kijana atumie fursa kujipatia pesa .
 
Rubbish and Nonsensical.
 
Biashara zako na mambo yako yale mengine uliyokuwa ukiyafanya na Mmoja wa Mtoto wa Mstaafu Mmoja Wewe ukiwa kama Begi lake au Punda wake wa Kutukuka.


Hili nalo liangaliwe na wewe tunakuomba uwe shahidi #1 katika hili.
 
A business man yule mnamjadili uku mapungu

Mpira is just mpira, haukulishi, haukulishi, Simba au yanga ikibeba kombe ufaidiki na chochote lakin watu mnakaza shingo utadhan nn sijui

Amken
 
Nenda kameze dawa zako
 
A business man yule mnamjadili uku mapungu

Mpira is just mpira, haukulishi, haukulishi, Simba au yanga ikibeba kombe ufaidiki na chochote lakin watu mnakaza shingo utadhan nn sijui

Amken
Alipe kodi aache kulia lia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…