GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Taarifa za ndani kabisa ambazo GENTAMYCINE nimezipata ni kwamba hili la Ugonjwa ni sababu tu ila tatizo ni Uvaaji wa Nenbo ya akina 'Samjo Samjo' GSM.
Inasemekana kuwa endapo Simba SC jana ingecheza bila Nenbo ya akina 'Samjo Samjo' GSM basi TFF ingeshtakiwa nao kwa Kukiuka taratibu za Makubaliano yao waliyoyafanya Chumbani kutokana na Njaa zao.
Hivyo basi kutokana na Kitendo cha TFF kuzibeba na Kuziogopa hizi Timu Kongwe Mbili nchini za Simba SC na Yanga SC na vyenyewe sasa vimeamua 'Kuipelekesha' TFF vile watakavyo na hawafanywi Wowote hali inayoashiria huenda huko mbeleni Ligi Kuu yetu ikaharibika.
Baada ya kutokea kilichotokea Watu wa Yanga SC waliamua kufanya Ujasusi na kugundua kuwa tatizo ni Nembo ya GSM yao ( Mdhamini ) wao Mkuu ndiyo maana Simba SC 'imechomoa' kucheza na Kagera Sugar FC hivyo na Wao katika mtiririko ule ule wa Kuikomesha na Kuiendesha TFF vile watakavyo na Wachezaji wao Wataugua kwa Kujilazimisha ili tu na Wao wasicheze na Mechi yao iahirishwe.
Na kuonyesha kuwa hili lina Uwezekano mkubwa likatokea tayari Jana Kocha wa Yanga SC Nabi alishatuandaa Kisaikolojia kwa kusema kuwa nae ana Wachezaji Wagonjwa na leo Asubuhi hii Kocha Msaidizi wa Yanga SC Kaze kasema kuwa Wachezaji Feisal Salum 'Fei Toto' na Tonombe Mukoko ni Wagonjwa hivyo idadi ya Wachezaji Wagonjwa wa Yanga SC sasa Kuongezeka.
Tuanzeni kujiandaa Kisaikolojia kuhusiana na Mechi hii ikichezwa itakuwa ni Jambo jema ila kuna dalili Yanga SC ( Kulwa ) nae 'akachomoa' leo ili 'Kuikomoa' TFF juu ya 'Issue' ya Nembo ya GSM kwa Simba SC.