CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
Nashukuru umemjibu,nilitaka nimjibu ila umeniokoa na ban ya maisha.Yanga haina ujinga wa namna hiyo,pia simba na tff wamekubalina kuwa hawatavaa nembo,hivyo hoza zako hazina mashiko
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nashukuru sana Mkuu kwa kunisaidia Kumjibu huyo Mpumbavu Mwandamizi.Kwa hizi timu mbili usitetee mmojawapo eti yeye huwa hafanyi ujinga wa namna hiyo. Mara ngapi Yanga anagomea mechi ? Hadi kombe la kagame alishawahi kugomea . Hata simba nao ni hivyohivyo. Tukubali tu kwamba hizi timu ni tatizo.
Ungeelewa / Mngeelewa neno "huenda' ambalo nimelitumia katika Maelezo yangu wala msingehangaika kutaka Majibizano nami juu ya Hoja yangu katika huu Uzi ila kwakuwa wengi wenu mmebarikiwa Upumbavu na Chuki za Kishamba dhidi yangu mmeshindwa Kunielewa na kamwe hamtonielewa hivyo nitaendelea Kawadharau tu kila Siku mpaka pale mtakapokuwa na Akili timamu na kubwa muwapo hapa Jamvini JamiiForums.Hakuna na maana hapo..mechi yetu Iko palepale.. hayo mambomezoea nyie tu Makolos
Unadhani kwa asivyo na Akili anaweza Kukujibu Mkuu? Unadhani aliyekuwa Kocha wao Luc Eymael ( Raia wa Belgium ) aliposema kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe alikosea na kwamba hakufanya vyema Utafiti wake dhidi yao?Mkuu unaweza saidia maelezo,kwanini jana Azam hajavaa nembo ya GSM kama ni kati ya walio katika zile team 15?
Ungeelewa / Mngeelewa neno "huenda' ambalo nimelitumia katika Maelezo yangu wala msingehangaika kutaka Majibizano nami juu ya Hoja yangu katika huu Uzi ila kwakuwa wengi wenu mmebarikiwa Upumbavu na Chuki za Kishamba dhidi yangu mmeshindwa Kunielewa na kamwe hamtonielewa hivyo nitaendelea Kawadharau tu kila Siku mpaka pale mtakapokuwa na Akili timamu na kubwa muwapo hapa Jamvini JamiiForums.Unaandika ujinga jumapili yite hii
Ungeelewa / Mngeelewa neno "huenda' ambalo nimelitumia katika Maelezo yangu wala msingehangaika kutaka Majibizano nami juu ya Hoja yangu katika huu Uzi ila kwakuwa wengi wenu mmebarikiwa Upumbavu na Chuki za Kishamba dhidi yangu mmeshindwa Kunielewa na kamwe hamtonielewa hivyo nitaendelea Kawadharau tu kila Siku mpaka pale mtakapokuwa na Akili timamu na kubwa muwapo hapa Jamvini JamiiForums.Pumba tupu
Ungeelewa / Mngeelewa neno "huenda' ambalo nimelitumia katika Maelezo yangu wala msingehangaika kutaka Majibizano nami juu ya Hoja yangu katika huu Uzi ila kwakuwa wengi wenu mmebarikiwa Upumbavu na Chuki za Kishamba dhidi yangu mmeshindwa Kunielewa na kamwe hamtonielewa hivyo nitaendelea Kawadharau tu kila Siku mpaka pale mtakapokuwa na Akili timamu na kubwa muwapo hapa Jamvini JamiiForums.Nashukuru umemjibu,nilitaka nimjibu ila umeniokoa na ban ya maisha.
Ahsante sana Mkuu.
Dogo Pablo nimepata dawa yako ya kigugumizi papaa. πUngeelewa / Mngeelewa neno "huenda' ambalo nimelitumia katika Maelezo yangu wala msingehangaika kutaka Majibizano nami juu ya Hoja yangu katika huu Uzi ila kwakuwa wengi wenu mmebarikiwa Upumbavu na Chuki za Kishamba dhidi yangu mmeshindwa Kunielewa na kamwe hamtonielewa hivyo nitaendelea Kawadharau tu kila Siku mpaka pale mtakapokuwa na Akili timamu na kubwa muwapo hapa Jamvini JamiiForums.
Waliokudanganya waendelee Kukudanganya.Dogo Pablo nimepata dawa yako ya kigugumizi papaa. π
Eti eeh basi powa ngoja nimuite yule mama wa futuhi ππWaliokudanganya waendelee Kukudanganya.
Futuhi ndiyo nini kwani hapa Kwetu Rwanda hatuna Jina hilo na unaposema Mama sikuelewi na ndiyo maana nimekuambia kuwa Umedanganywa na unaendelea tu Kudanganywa na wanaodhani Wananijua au Wewe Kujidanganya kuwa unanijua mno wakati si Kweli.Eti eeh basi powa ngoja nimuite yule mama wa futuhi ππ
Haya papaa πFutuhi ndiyo nini kwani hapa Kwetu Rwanda hatuna Jina hilo na unaposema Mama sikuelewi na ndiyo maana nimekuambia kuwa Umedanganywa na unaendelea tu Kudanganywa na wanaodhani Wananijua au Wewe Kujidanganya kuwa unanijua mno wakati si Kweli.
Kwani nawe uko hapa nchini Rwanda?Haya papaa π