Janja ya uchaguzi...............BAADA ya Mbunge wa Karatu (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa kuibana serikali kuhusu vipengele vilivyoongezwa kinyemela katika muswada uliosaniwa na Rais Jakaya Kikwete kwa mbwembwe wiki iliyopita, taarifa mpya zinasema Rais amefura, akitaka maelezo ya kina ya walioingiza vipengele hivyo.
Tanzania Daima lilipozungumza na mmoja wa wasaidizi wa Rais Kikwete kuhusu sakata hilo jana, alidokeza kwa maneno machache, na kwa msisitizo, akisema: Rais amefura.
Kwa habari zaidi, Soma Tanzania Daima.
I love this post! Hiyo Chaque kwa maneno imeandikwa Two Hundred Thousand lakini kwa mahesabu 300,000! Kama sio doctored hii itakua ya mwaka! Manake muungwana anafurahia bila hata kusoma! Hii kali!!!Nimependa ulivyoweka habari! Tumezoea wale wenzetu wanakopi gazeti zima na kumwaga hapa! Hivi JMK huwa anamuda wa kusoma anachosign? ama mwenzetu ni ceremonial president?
nimeipenda pia hiyo picha, hiki kilikua kielelezo cha Rais asiemwangalifu na aliezungukwa na wasaidizi wenye mwenendo wa maisha usio wa kawaida.....kuna wakati lakini naona huwa wanamuacha aumbuke kwa sababu labda mkuu nae ana simple mind, ama simuelewa wa mambo ama akili yake ni nzito.I love this post! Hiyo Chaque kwa maneno imeandikwa Two Hundred Thousand lakini kwa mahesabu 300,000! Kama sio doctored hii itakua ya mwaka! Manake muungwana anafurahia bila hata kusoma! Hii kali!!!
I love this post! Hiyo Chaque kwa maneno imeandikwa Two Hundred Thousand lakini kwa mahesabu 300,000! Kama sio doctored hii itakua ya mwaka! Manake muungwana anafurahia bila hata kusoma! Hii kali!!!
i love this post! Hiyo chaque kwa maneno imeandikwa two hundred thousand lakini kwa mahesabu 300,000! kama sio doctored hii itakua ya mwaka! Manake muungwana anafurahia bila hata kusoma! Hii kali!!!
katika Yoote, Dr Slaa anasoma sana, ni makini mno, ....binafsi na muheshimu sana.BAADA ya Mbunge wa Karatu (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa kuibana serikali kuhusu vipengele vilivyoongezwa kinyemela katika muswada uliosaniwa na Rais Jakaya Kikwete kwa mbwembwe wiki iliyopita, taarifa mpya zinasema Rais amefura, akitaka maelezo ya kina ya walioingiza vipengele hivyo.
Tanzania Daima lilipozungumza na mmoja wa wasaidizi wa Rais Kikwete kuhusu sakata hilo jana, alidokeza kwa maneno machache, na kwa msisitizo, akisema: Rais amefura.
Kwa habari zaidi, Soma Tanzania Daima.