Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Hili lisiwashitue maana sasa hivi makada wa CCM ni njaa tu imewaweka huko na wala siyo mshikamano wa ki-itikadi na baada ya JK na CCM kupigwa mwereka na Dr. Slaa usishangae kuona kadamnasi ya makada wa CCM wakikimbilia chama kipya tawala cha Chadema.
Kitakachowapeleka huko ni kusaka ulaji wa vyeo serikalini zikiwemo kandarasi mbalimbali na ibada ya kuizika rasmi CCM mimi ndiye nitakuwa kasisi wake nikisaidiwa na Malaria Sugu.
Kitakachowapeleka huko ni kusaka ulaji wa vyeo serikalini zikiwemo kandarasi mbalimbali na ibada ya kuizika rasmi CCM mimi ndiye nitakuwa kasisi wake nikisaidiwa na Malaria Sugu.