Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Halafu nyie jamani, ina maana makamba atasema WANA CCM wana Kiherehere? duh cant wait to see makamba akiifagilia CHADEMA....
Dr Slaa for Presdaaaaaaaa 2015
Hili lisiwashitue maana sasa hivi makada wa CCM ni njaa tu imewaweka huko na wala siyo mshikamano wa ki-itikadi na baada ya JK na CCM kupigwa mwereka na Dr. Slaa usishangae kuona kadamnasi ya makada wa CCM wakikimbilia chama kipya tawala cha Chadema.
Kitakachowapeleka huko ni kusaka ulaji wa vyeo serikalini zikiwemo kandarasi mbalimbali na ibada ya kuizika rasmi CCM mimi ndiye nitakuwa kasisi wake nikisaidiwa na Malaria Sugu.
Kulikuwa kuna post za ajabu ajabu katika mwezi huu uliopita. JF folks wanapenda sana ku-react na instant newsbites. Watu hawaangalii mbali. Inanikumbusha kipindi kile CCJ ilivyoanzishwa, palikuwa hapatoshi humu ndani.
Anyways, big picture people.