Baada ya Droo ya Kafu kuna 'Litimu Libovu' naliona litaambulia Alama ( Point ) 0 au 1 tu na Kutia Aibu

Baada ya Droo ya Kafu kuna 'Litimu Libovu' naliona litaambulia Alama ( Point ) 0 au 1 tu na Kutia Aibu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Lenyewe vs Medeama Dar Sare au Litafungwa kabisa na ya marejeano kwao Ghana atafungwa Goli 5 kwa 0

Lenyewe vs CR Belzoud Dar anafungwa 4 kwa 0 na marejeano kwao Algeria atafungwa 6 kwa 0

Lenyewe vs Al Ahly hapa Dar es Salaam atafungwa 9 kwa 0 na ile ya marejeano kwao Misri ( Egypt ) watafungwa Goli 13 kwa 0

Kafu wana roho mbaya si mchezo.
 
Gentomavi

Watu wafupi wanakuwaga wakorofi sana
20230912_203217.jpg
 
Yanga na Al Ahly
Wataingia Robo Fainali.

Next Season Yanga watacheza Fainali
 
Back
Top Bottom