Baada ya Ekerege wa TBS, sasa ni zamu ya MSD

mchukiaufisadi

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
546
Reaction score
193
Boss wa TBS sasahivi anatumikia kifungo japo ni kifupi, lakini angalau inatia moyo.
Leo Boss wa MSD,katinga kwa Pilato kuhukumiwa kwa ufisadi wake.

Sasa anayefuata nihuyu aliyesini mkataba wa kifisadi na Boss wa MSD. Yaani boss wa PPF.

Boss wa PPF anaskendo nyingi mno tangu awe DG. Kaibapesa za group endowment, kafukuza wafanyakazi bila makosa na wameshinda kesi zamahakama kuu na kuamuliwa kuwalipa Zaidimilioni 600 kila mmoja kutoka kwenye pesa za wanachama huku wastaafu wakipataelfu hamsini tu

Naiomba serikari(PCCB, SSRA, Hazina, TISS etc? imwondoe na imchunguze ili naye afuate kwa Ekerego

Huyu hapa chini kisaini dili la kifisadi lililojicha

PPF NA MSD WASAINI MAKATABA WA MPANGO WA"WEKEZA"

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (Kushoto), na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa, (MSD), Cosmas Mwaifwani, wakiweka saini mkataba wa "wekeza"kwenye hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya MSD, Keko jijini Dar es Salaam,Julai 23, 2014. Chini ya Mkataba huo, zaidi wa wafanyakazi 400 wa MSDwamejiunga na PPF.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (Kushoto), akibadilishana hati na KaimuMkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa, (MSD), Cosmas Mwaifwani, baada ya kusainimkataba wa mpango wa "Wekeza" kwenye hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya MSDjijini Dar es Salaam, Julai 23, 2014

Mkurugenzi waOperesheni wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Asumpta Malya, (Kushoto), akikabidhikadi mpya ya uanachama kwa mwanachama mpya ambaye ni mfanyakazi wa MSD, marabaada ya PPF na MSD kusaini makataba wa mpango wa 'Wekeza" kwenye haflailiyofanyika makao makuu ya MSD, Keko jijini Dar es Salaam, Julai 23, 2014

Mkurugenzi waOperesheni wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Asumpta Malya, (Kushoto), akikabidhikadi mpya ya uanachama kwa mwanachama mpya ambaye ni mfanyakazi wa MSD

Viongozi wa PPF nawenzao wa MSD, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutiliana sainimkataba ambapo MSD na PPF zimekubaliana kuanzisha mpango wa "Wekeza"ambapo wafanyakazi wa MSD sasa watakuwa wakichangia kwenye mfuko huo ilikujiwekea akiba na kujipatia mafao mbalimbali

Viongozi wa PPF na wenzao wa MSD, wakiwa katika picha ya pamojana baadhi ya wafanyakazi wa MSD waliokabidhiwa kadi za uanachama wa Mfuko huo,mara baada ya kutiliana saini mkataba ambapo MSD na PPF zimekubaliana kuanzishampango wa "Wekeza" ambapo wafanyakazi wa MSD sasa watakuwawakichangia kwenye mfuko huo ili kujiwekea akiba na kujipatia mafao mbalimbali
 
Waache WAFUNGWE tu
 
Back
Top Bottom