Naloli
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 416
- 81
Moja ya sifa ya penzi la dhati ni uvumilivu na kusamehe, jiulize nafsini mwako kweli umemdelete, na kwa nini hukusema kwenu na kwao, kila mwanadamu huteleza kwa namna yake sio kosa moja unapoteza ulichokipenda, kama inawezekana kumsamehe muuaji, utashindwaje kumsamehe mpenzio yaheee, ucfuate wanajf wote waropokaji tu, Ajuae kiatu kimembana ni yule aliekivaa, tuliza Nzuka weyee, hiyo mijihasira tuu itapita kama upepo yakhee, usiache mbachao kwa msaala upitao ndugu:nono:
ACHA KUMDANGANYA MWENZAKO WEWE!
Maisha ya ndoa ni tougth sana yaani kuna minyukano ya kila aina yaani mtagombana, mtakwazana, ndugu watawaingiza ktk migongano ma marafiki pia. Hiyo ndio hali halisi hivyo uvumilivu na uaminifu ndio msingi mkubwa wa ndoa, huyo mchumba wako ktk amani tu kakusaliti. JIUULIZE je mkigombana au ndugu kuwaingilia mambo yenu nanyi mkafarakana kimtazamo hadi kuingia ktk mizozo ya kifamilia na amani kutoweka ndani ya nyumba hatotafuta mfaliji?
KIUKWELI jamaa aliyekumegea demu wako ni mwiba mguuni mwaka kwa maisha yako yote ya ndoa, na mbaya zaidi ni office mate wake. ndugu usijiingize ktk ndoa hiyo itakuwa msiba wako ya maisha