Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Somalia inapata ugumu baada ya mambo kuzidi kwenda Kombo!
Wakati wako kwene vita ya maneno na Taifa lenye heshima kubwa Afrika kwa kutotawaliwa na wakoloni la Ethiopia, mtanange umegeuka nakua kilanga kikubwa dhidi ya Somalia hasa kwa wale wakereketwa wa “GREAT SOMALIA” baada ya Taifa dogo lenye nguvu kubwa duniani la Israel kutaka kuitambua rasmi Somaliland kua taifa huru.
KWANINI UAMUZI HUU.
Uamuzi huu unakuja baada ya vikundi vya kigaidi vya kiislam kuungana kuishambulia Israel kila kona.
Vikundi hivi ni HAMAS, HEZBOLLAH, HOUTHI
Hivi karibuni kikundi cha HOUTHI nchinin Yemeni kilitangaza kuanza kushirikiana na Alshabab wa somalia.
Taarifa hii inakua ni mbaya sana kwa israel kwa kua kitaongeza nguvu na kusambaa kwa vikundi hasimu kwa masrahi ya israel katika Pembe ya Afrika.
Aidha Taarifa hii kama HOUTHI na AL shabab wataungana basi itakua ni ndoto mbaya kutokea kwa nchi za Africa masharika za Ethiopia, Kenya, Tanzania na Uganda kwani Kimekua kikihusianisha na mashambulizi kadhaa ikiwa ni pamoja na kusababisha mgogoro mkubwa wa wakimbizi kujaa kenya na Ethiopia,Uganda.
THE GREAT SOMALIA IS DEAD AGAIN