Baada ya Ethiopia, Israel inataka kuitambua Somaliland kama nchi ili kupambana na Houthi wanaotaka kuungana na Al Shabab wa Somalia

Issue ya Yemen ni mirungi imeharibu nchi yote si Houthi si Waarabu wengine. Wao ukiwapa mirungi umemaliza kazi πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila ukimkuta FaizaFoxy anavowasifia unaweza ukasema watu kumbe mateja... Yemen asiye kuwa teja ni mtoto Mchanga tu
Kwahiyo Wakishatafuna Mirungi wanaanza kurusha Ballistic Missiles?😁
 
Makabila mengi ya Yemen hawataki Houthi kuitawala Sanaa, sema wanajua kuwa Houthi wanapewa kiburi na Ayatolah.
 
huwezi kuzuia mtu kuwa gaidi

ila unaweza kumzuia asikushambulie
 
Nahisi huna uelewa wa kutosha na hauelewi dunia inavyokwenda, sema wewe, Al Shabab ilianzishwa na Al Qaeda au hapana?
 
Vita ya wenyewe kwa wenyewe Yemen iliisha zamani sana. Naona bado uoo nyuma sana.

Hiyo ilikuwa ni vita ya kisiasa, iliyoanziushwa na Wamarekani wakisaidiwa na mashiga zao mazayuni wasaudi na UAE..

Leo hii Wayemeni wote bila kujali itikadi zao za kisiasa, wanasema kwanza mazayuni wanyukwe mpaka wasitishe kuuwa watoto na wasiojweza pale Ghaza.

Jana wamesema hakuna tena kuwekea mstari mwekundu, sasa ni mpaka wazayuni waikimbie ardhi ya Palestina.
 
Mirungi nilikuwaga najua ni kama Matembele kumbe ni kitu kibaya sana
 
Vita ya wenyewe kwa wenyewe Yemen iliisha zamani sana. Naona bado upo nyuma sana.

Hiyo ilikuwa ni vita ya kisiasa, iliyoanziushwa na Wamarekani wakisaidiwa na mashoga zao mazayuni wasaudi na UAE..

Leo hii Wayemeni wote bila kujali itikadi zao za kisiasa, wanasema kwanza mazayuni wanyukwe mpaka wasitishe kuuwa watoto na wasiojiweza pale Ghaza.

Jana wamesema hakuna tena kuwekea mstari mwekundu, sasa ni mpaka wazayuni waikimbie ardhi ya Palestina.
Mirungi nilikuwaga najua ni kama Matembele kumbe ni kitu kibaya sana
Umeshaila?
 
Nakushangaa mpaka leo huelewi kuwa Al Shabaab ni kikundi kilichoanzishwa na Wamarekani kama ilivyo Somaliland, wagawe uwatawale.

Kama watu wanahukumiwa kuwa "Al Shabab" kwa Uislam wao basi Somaliland ni zaidi ya Al Shabab.
Mbona waislam wanaunga mkono alshabaab?! Hasa waislam wenye siasa kali
 
Mbona waislam wanaunga mkono alshabaab?! Hasa waislam wenye siasa kali
Hakuna muisla wa siasa kali, kuamini hilo ni kuamini ujinga uliojazwa nao. Uislam ni mmoja tu.

Hilo la kuwaunga mkono Al Shabaab si ndiyo limepangwa liwe hivyo. Unafikiri pesa za kuiendesha hiyo Al shabab zinatoka wappi? Zinakotoka zinatoka na zingine nyingi sana za kuwafanya wapate wa kuwaunga mkono.

Kama hakuna wataowaunga mkono utawagawa vipi ili uwatawale?

Fikiri japo kiduchu kabla hujajibu.
 
Nakushangaa mpaka leo huelewi kuwa Al Shabaab ni kikundi kilichoanzishwa na Wamarekani kama ilivyo Somaliland, wagawe uwatawale.

Kama watu wanahukumiwa kuwa "Al Shabab" kwa Uislam wao basi Somaliland ni zaidi ya Al Shabab.
dunian kila taifa likifeli lawama ni USA , hv USA huyu angekuwa na huo uwezo angewacha China ifikie pale ilipo na ije ipoteze nguvu kuidhoofisha Somalia ?
 
dunian kila taifa likifeli lawama ni USA , hv USA huyu angekuwa na huo uwezo angewacha China ifikie pale ilipo na ije ipoteze nguvu kuidhoofisha Somalia ?
Ushindani wa ibilisi na afiriti ni nani zaidi tu. yupi agtawapoteza wengi.
 
Israel ni taifa lililopoteza geopolitical influence tayari.
Na pia bahati mbaya Somaliland usidhani atakua na ujamaa na Israel maana Somaliland ni walewale tu Somalians,kilichowatenganisha na Somalia kuu ni vita za ukabila tokea 1970s.
Kingine ambacho ni kibaya zaidi ni kuwa mataifa makuu ya AU ikiwemo Tanzania zinatambua Somaliland kama SEHEMU ya Somalia,na zimekataa kutambua Somaliland kama nchi huru.
Nadhani ungefuatilia ujio wa rais wa Somalia hapa Tanzania miezi miwili iliopita.
Na mbaya zaidi Israel HAINA INFLUENCE YEYOTE AFRICA.
 
Nakushangaa mpaka leo huelewi kuwa Al Shabaab ni kikundi kilichoanzishwa na Wamarekani kama ilivyo Somaliland, wagawe uwatawale.

Kama watu wanahukumiwa kuwa "Al Shabab" kwa Uislam wao basi Somaliland ni zaidi ya Al Shabab.
Iko siku kwa ushetani wenu mtakuja sema Houthis walianzishwa na Marekani na siyo kikundi cha Kiislamu kinachoungwa mkono na Iran!
 
Mirungi nilikuwaga najua ni kama Matembele kumbe ni kitu kibaya sana
Unabisha nini wewe kijana!?
Vita za Yemeni zilianza pale USA alipoungana na Saudi Arabia 2014 kulazimisha Mansour ambaye hakutakiwa na raia wote wa Yemeni abaki madarakani.
Ndio Houthi walitumia nguvu kwa kushika silaha,bahati nzuri 2021 vita iliisha kwa msaada wa mazungumzo aliyoitisha China.
Na Houthi waliulizwa wanataka nini walitaja sharti zifuatazo;
-USA kuacha kumsaidia Mansour kijeshi ili arudi madarakani.
-Saudi Arabia kutokuingilia masuala ya ndani ya Yemeni.
Ndio vita ilipositishwa.
Hakuna vita tena za kiraia Yemeni,unless wewe mtoto mdogo umezaliwa juzi huna ulijualo.
 
dunian kila taifa likifeli lawama ni USA , hv USA huyu angekuwa na huo uwezo angewacha China ifikie pale ilipo na ije ipoteze nguvu kuidhoofisha Somalia ?
Toka 1992 USA amekua akipambana kuiangusha China ila China is not Afrika ameshindwa.
Mpaka sasa anajaribu kuiangusha.
 
Uzuri ni kuwa hayo hatuyasemi sisi wanasema wenyewe Wamarekani. Jionee:

View: https://youtu.be/r3pDCxzC_k0?si=QtZUyQ0QvicX93_c
Jibu hoja! Tulikoanzia ni Al shabab, wewe unatuletea mujahidina wa Afghanistan πŸ‡¦πŸ‡«
Kwa haujui historia kabisa, kwa sababu The Mujahidina waliopigana na Soviet siyo hawa Talban wa sasa hivi. Talban inatokana na kabila la Pashtun. Mujahideen kupitia dhana yenu ya uislam ya brotherhood walikubali kuletewa wasilam wenye idiology ya Wahabism ambao baadae ndiyo wamepandikiza sumu. Wahabisim siyo creation ya America, bali ni masiasa kali wa Muslim Brotherhood ambao walijipenyeza huko Saudia. Na sasa, MBS anawafyagia kwa kwenda mbele. Muwakaribishe huku kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…