Baada ya Fastjet kupokezwa kwa Mtanzania, ipo kwenye hatua za kifo, PAA ya KQ tumia fursa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Humu tuliimbiwa sana nyimbo za jinsi Fastjet itateka na kuangusha KQ, lakini siku hisa 68% za Fastjet zilipokezwa kwa Mswahili, mambo yakaanza kushuka, leo hii inapumulia mashini, kiasi kwamba TCAA wapo kwenye hatua za kuifutia leseni.
-------------------------------------

. Fastjet Airlines Ltd (Tanzania) executive chairman Lawrence Masha is running against time to stabilise the company, whose mounting challenges could see the authorities grounding the budget airline’s operations.
Mr Masha – who only recently acquired 68 per cent of the shares of the struggling air carrier and, thereby, took control of the business – has only 11 days in which to effectively counter a threat by the Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) to withdraw the operating licence of the carrier.
TCAA director general Hamza Johari told The Citizen yesterday that the civil aviation regulator in Tanzania is seriously considering cancelling Fastjet’s operating licence. This comes amid mounting flight cancellations that have been playing merry hell with travellers’ holiday plans, especially during this festive Christmas season.
A statement by the national Aviation Authority which was released just a few days after the airline suspended its domestic and foreign flights said that the suspensions forced more than 100 passengers who were booked to travel with the airline to spend the night in town.
Clock ticking for Fastjet amid mounting troubles
 
MK254,
Fastjet bado haijafa wala haipo ICU, shirika hilo litakuwa la pili kumilikiwa na mtanzania /watanzania (kampuni binafsi )baada ya PrecisionAir ambayo pia inamilikiwa na mtanzania. Sikiliza Lawrence Masha akiiambia BBC Swahili mambo yatakuwa mazuri kihuduma na abiria wake waliopo Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika wategemee ndani ya siku chache Fastjet wataruka tena angani baada ya changamoto iliyotokea :

Source : BBC Swahili
 
Listen to Michael Shirima, the Board of Directors Chairman of Precision Air Services commenting on the deal.
 
Wawarudishie abiria hela zao au wakodi ndege nyengine if possible.
 
Maxence Melo Mod One mnaachaje nyuzi za kutuchafua na kutudharaulisha namna hii kuendelea kuwemo humu? Haiingii akilini hasara ya kupelekea kufa kwa Fastjet imepatikana ndani ya wiki baada ya umiliki kubadilika. Tuwe fair na upotoshaji huu! Naombeni hii thread ifutwe au niruhusiwe ku-post ninachojiskia pia!
 
17 Dec 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania

Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza S Johari amezungumzia hali ya shirikia la ndege la FastJet na kutangaza mamlaka imetoa notisi ya siku 28 kwa shirika hilo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano katika Makao Makuu ya TCAA, kitongoji cha Banana Ukonga jijini Dar-es-Salaam, Tanzania.

Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006).
Source : Tanzania Civil Aviation Authority
 
Latest news
17 Dec 2018
Julius Nyerere International Airport
Dar-es-Salaam, Tanzania

Lawrence Masha ambye alikuwa WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, alinunua asilimia 64 ya hisa za kampuni ya ndege ya Fastjet Tanzania, hivyo kuongeza hisa zake kufikia asilimia 68 kutoka asilimia nne aliyokuwa akimiliki awali.
 

TCAA wametoa tamko kwamba Fastjet sasa haina vigezo vya kuruka kwenye anga ya Tanzania, pia kumbuka jamaa wamefuta safari zote za December na January huku mkiendelea kuimba pambio.
TCAA to FastJet: You don’t qualify to operate in Tanzania
 
MK254,
Hizi changamoto za kawaida kabisa ktk industry, punde tutaleta habari njema kwa abiria wote wa Fastjet Tanzania, ukanda huu wa E.A.C na Kusini mwa Afrika.
 
MK254,
Hizi changamoto za kawaida kabisa ktk industry, punde tutaleta habari njema kwa abiria wote wa Fastjet Tanzania, ukanda huu wa E.A.C na Kusini mwa Afrika.

Mngewaachia wazungu waendelee kuimiliki, kwa sasa ni mwendo wa kuangukia pua.
Ni fursa nzuri kwa PW ambayo Kenya airways ni mshirika, kuichukua soko.
 
Kwenda huko. Nyinyi mnaotumia maneno machafu humu mnaulizwa? Mmekuwa crying babies nowadays. Hii ni Mara ya tano kuona ukilalamika. Si mseme hii Kenyan section ifutwe mpeleke ujinga jukwaa la siasa
 
Uhuru wa kujieleza na kutoa mawazo.
Sehemu kubwa ni kusikia na kuvumilia usiyoyapenda.
Pambana kwa hoja na sio mapambio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…