Na mm pia naombea simba game ya mwisho amepata-amepata basi DRAW.Tatizo wivu mkuu, yaan huwa kuna watanzania wanaungana na nchi jirani kuiombea simba mabaya.
Wanakera sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilinge hikiNataka nijiridhishe nione kama nafasi yetu ya kusonga mbele bado ipo .
ipi ? kuwa mzalendo mkuu
Simba wa nne sio watanosoura anaongoza kundi D akifuatiwa na al ahal tatu AS vita na simba wa tano.yeyote kundi hili bado ana nafasi ya kifuzu robo fainali game za mwisho ndo determinant
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tuseme anaongòza kabisaNi vema tukisema Simba ni ya 4 , tusiseme ni ya mwisho
Ahsante kea clip...wazi kbs JS Soura NI mbingwaKilinge hiki
Wewe jamaa uyanga umekutia ukipofu mno, embu kuwa mtu mzima acha ukindoki.Simba anaongoza kundi la whatsapp
Ndio mpira mkuu,hiyo ni club sio timu ya taifa mtu anashangilia anachopenda..ndio maana siku mnacheza na Al ahly mashabik wa zamalek walikuwa kwenu...Tatizo wivu mkuu, yaan huwa kuna watanzania wanaungana na nchi jirani kuiombea simba mabaya.
Wanakera sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Calm down, take a deep breathe, drink water moyo ueleeWewe jamaa uyanga umekutia ukipofu mno, embu kuwa mtu mzima acha ukindoki.
.
Simba anamaliza nyumbani ana 80% za kushinda anafikisha 9 al ahly atafikisha kumi sasa soura na vita watapita kwa njia gani
Tatizo wivu mkuu, yaan huwa kuna watanzania wanaungana na nchi jirani kuiombea simba mabaya.
Wanakera sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Radhi ya nini sasa mkuu? Lete msimamo hapa kwanza
Watanzania level yetu ni kombe la MusonyeWanashindwa kujiongeza kwa kufikili tu.hawajui km Simba akipita nao wanapata nafasi ya kushiriki msimu ujao
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mabonanza mengine kama Mapinduzi Cup
msomali si yupo ?Mimi. Naichukia taifa staz nani kamkaribisha makonda pale?
jamani kuweni wazalendo basi .Na mabonanza mengine kama Mapinduzi Cup