Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Raisi Biden wa Marekan amemlaumu raisi wa Ukraine kwa kuwa mkaidi na kutosikiliza ushauri wa wakubwa.
Anasema alikataa kusikiliza uoni wa kiintelijinsia ya Marekani kwamba Urusi ilikuwa iko karibu kuivamia nchi hiyo. Marekani pia baada vita kuanza iliwahi kumshauri kuwa akimbie nchi na akataa.
Kauli hiyo ya Biden imekuja huku wanajeshi wa Ukraine wakiwa wameukimbia na kuuangalia kwa mbali mji muhimu wa viwanda Sivioredenesk baada ya wanajeshi wa Urusi kuuchukua mji huo tangu majuzi.
Rais Zelensky kwa upande wake anazidi kuomba msaada wa silaha nzito ili aikomboe miji yote iliyotekwa na Urusi.