Mjinga ww ondoka uliambiwa uku ww ndyo mgawa pesa kiazi kabisa nenda Facebook kapige umbeaModerators
Ondoa huu uchafu hapa, nakupa dakika 2 tu otherwise nitajiuzulu jf
Wee ukiwa kama nani?? Endapo ukijiuzuru itatuounguzia Nini wana Jf !?Moderators
Ondoa huu uchafu hapa, nakupa dakika 2 tu otherwise nitajiuzulu jf
Haahaaaahaaaah!!Moderators
Ondoa huu uchafu hapa, nakupa dakika 2 tu otherwise nitajiuzulu jf
Yaani imekugusa na kuumia kuliko hata Zeleinsky. Hakiki huu mgogoro tunashuhudia mengi
Pole mkuu; ni heri ukweli mchungu kuliko uongo mtamu.Moderators
Ondoa huu uchafu hapa, nakupa dakika 2 tu otherwise nitajiuzulu jf
Zelensky ameingizwa cha kike na marekani 🤣🤣🤣🤣🤣Raisi Biden wa Marekan amemlaumu raisi wa Ukraine kwa kuwa mkaidi na kutosikiliza ushauri wa wakubwa.
Anasema alikataa kusikiliza uoni wa kiintelijinsia ya Marekani kwamba Urusi ilikuwa iko karibu kuivamia nchi hiyo. Marekani pia baada vita kuanza iliwahi kumshauri kuwa akimbie nchi na akataa.
Kauli hiyo ya Biden imekuja huku wanajeshi wa Ukraine wakiwa wameukimbia na kuuangalia kwa mbali mji muhimu wa viwanda Sivioredenesk baada ya wanajeshi wa Urusi kuuchukua mji huo tangu majuzi.
Rais Zelensky kwa upande wake anazidi kuomba msaada wa silaha nzito ili aikomboe miji yote iliyotekwa na Urusi.
Tulia dawa ikuingie, kwann tim Ukro mnakua hampendi ukweliModerators
Ondoa huu uchafu hapa, nakupa dakika 2 tu otherwise nitajiuzulu jf
Sidhani Ka alikuwa serious, Ila kajitutumua!Wee ukiwa kama nani?? Endapo ukijiuzuru itatuounguzia Nini wana Jf !?
Ningekuwa Mimi ni mmoja WA wafanya maamuzi kati ya nchi zinazo msaidia silaha,ningetaka apimwe akili kabla ya kuendelea kufanya maamuzi ya kuendelea kumpelekea silaha🤔Raisi Biden wa Marekan amemlaumu raisi wa Ukraine kwa kuwa mkaidi na kutosikiliza ushauri wa wakubwa.
Anasema alikataa kusikiliza uoni wa kiintelijinsia ya Marekani kwamba Urusi ilikuwa iko karibu kuivamia nchi hiyo. Marekani pia baada vita kuanza iliwahi kumshauri kuwa akimbie nchi na akataa.
Kauli hiyo ya Biden imekuja huku wanajeshi wa Ukraine wakiwa wameukimbia na kuuangalia kwa mbali mji muhimu wa viwanda Sivioredenesk baada ya wanajeshi wa Urusi kuuchukua mji huo tangu majuzi.
Rais Zelensky kwa upande wake anazidi kuomba msaada wa silaha nzito ili aikomboe miji yote iliyotekwa na Urusi.
Beberu hatoi kitu Bora,Ningekuwa Mimi ni mmoja WA wafanya maamuzi kati ya nchi zinazo msaidia silaha,ningetaka apimwe akili kabla ya kuendelea kufanya maamuzi ya kuendelea kumpelekea silaha🤔
Wakati huo Zeleboy amelala baada ya kugonga mvinyo huku porini vijana wake wakishushiwa vitu vizito kichwani🤔Beberu hatoi kitu Bora,
Anachekelea Putin anavyombomoa Ukraine, Kwa sababu anajua kazi ya REBUILDING OF UKRAINE, atapiga hela ndefu sana, anajua demand ya building materials cement, nondo, itapanda, atauza, usafirishaji gharama zitapanda, meli za mizigo zitaelekezwa Ukraine, huku duniani kuwe na uhaba, mafuta yazidi kupanda!
Beberu hafanyi biashara isiyo na faida hata siku 1.
Corona mafuta yalishuka to zero value! Alikuwa anatucheki Tu tunavyochekelea,
Sasa alichokipoteza chote anakirudisha!