Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Hapo dingi ndo alipokwama, angeenda nao kimya kimya mwisho wa siku wanakuja kutahamaki wameisha, hii kutangaza ni jau sanaHao mashoga wangedili nao kimyakimya
Kinachongaza ni rahisi waafrika kuua shoga lakini si kuua viongoz wezi wala rushwa, mafisadi, nenda china kiongozi mwizi, fisadi, mla rushwa anayongwa tu. By the way kuna nchi ya kiafrika ina kiongoz msagaji lakini hutosikia anapigwa vita na wananchi wa hiyo nchi wala kukemewa ndo uone waafrika walivyo wanafikiNa hakuna beberu aliyemlazimisha mtu kuuishi ushoga.Ambacho wanapinga ni hao mashoga wasinyanyaswe.
Kwa Ajili ya nini?Kwa akili na fikra zako, sio mda mrefu Utamuandika SSH kama unavyoandika kuhusu Marais wengine Afrika kuhusu Uchumi wao.
Uchumi wa Tanzania upo hatarini. 2024-2026.
Ni suala la muda tu Mungu atuweke hai anguko la kiuchumi kwa serikali ya samia li wazi kabisaaaa unajua unaweza ficha vitu vingine lakini si hali ya uchumiKwa akili na fikra zako, sio mda mrefu Utamuandika SSH kama unavyoandika kuhusu Marais wengine Afrika kuhusu Uchumi wao.
Uchumi wa Tanzania upo hatarini. 2024-2026.
The hypocrites of highest degrees.Huwa tunajionesha mfanano wetu na gorrila bila shuruti.Kinachongaza ni rahisi waafrika kuua shoga lakini si kuua viongoz wezi wala rushwa, mafisadi, nenda china kiongozi mwizi, fisadi, mla rushwa anayongwa tu. By the way kuna nchi ya kiafrika ina kiongoz msagaji lakini hutosikia anapigwa vita na wananchi wa hiyo nchi wala kukemewa ndo uone waafrika walivyo wanafiki
Hakuna viashiria vya anguko la uchumi Tanzania,nakuhakikishia Asilimia 100%Ni suala la muda tu Mungu atuweke hai anguko la kiuchumi kwa serikali ya samia li wazi kabisaaaa unajua unaweza ficha vitu vingine lakini si hali ya uchumi
ChoiceVariable sawa itakapoteka nitakukumbusha🙏🙏Hakuna viashiria vya anguko la uchumi Tanzania,nakuhakikishia Asilimia 100%
Kama uchumi haukuanguka.awamu ya Jiwe ambayo wawekezaji walikimbia sembuse Tanzania?
Na sababu ambayo ilimfanya Jiwe aka survive ni dhahabu ilipanda snaa bei,Watalii na uwepo wa Bandari.
Na hivi vyote Kwa Sasa viko vizuri na on top of that uwekezaji unamiminika kama mvua 🔥🔥
Dingi anataka ushawishi kisiasa achaguliwe tena. Hiyo hoja ya mashoga ndo ilikuwa kete yake iliyobakiHapo dingi ndo alipokwama, angeenda nao kimya kimya mwisho wa siku wanakuja kutahamaki wameisha, hii kutangaza ni jau sana
Haiwezi kutokea Wala sio ajali, uchumi unaoneshaga dalili,Hali ya Dola ni ya moto na rahisi kuziba Kwa kukopa.ChoiceVariable sawa itakapoteka nitakukumbusha🙏🙏
Vipi yule kijana wake muhozi..?Dingi anataka ushawishi kisiasa achaguliwe tena. Hiyo hoja ya mashoga ndo ilikuwa kete yake iliyobaki
Ninaona anampambania akishirikiana na KagameVipi yule kijana wake muhozi..?
Huyu siku zake sio nyingi, kinachoendelea kumuweka madaraksni ni jeshi tu alilojaza ndugu na kabila lake na wana familia,Hii ni mvua ya rasha rasha Bado moto wenyewe,wakaze fuvu waone kitakachojiri.
Yaani Nchi Ina njaa umaskini Hadi mwisho harafu inatunishiana Misuli na Matajiri.
Walisema watakomaa vipi tena Museveni unataka irudishe mpira Kwa kipa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usifanye mzaha na Beberu ,mtakula nyasi kisha upinduliwe.
---
The Ugandan government is in talks with the World Bank for the lender to rescind its decision to withhold budget support for Kampala worth Ush6.7 trillion ($1.787 billion).
The World Bank suspended funding last month in the wake of Kampala’s decision to pass a new anti-homosexual law deemed by the West to be a violation of the rights of minorities.
Uganda's Finance Minister Matia Kasaija said the government is talking to the World Bank on a number of issues, emphasizing that the country was still on good terms with the global lender even after it suspended new lending.
While responding to the World Bank’s announcement to suspend new loans to Uganda, President Museveni indicated that the government would continue to engage the global lender over the issue but noted that whereas foreign aid and loans were welcome, they were neither decisive nor indispensable elements for Uganda's desired social-economic transformation.
Uganda has resorted to cutting government spending in order to fill the financial void created by the World Bank's suspension of funding.
---
Uganda is turning to local pension funds as a survival measure following external freezing of funding from the World Bank.
The EastAfrican has learnt that the government is in talks with the World Bank for the lender to rescind its decision to withhold budget support for Kampala worth Ush6.7 trillion ($1.787 billion). The bank suspended funding last month in the wake of Kampala’s decision to pass a new anti-homosexual law deemed by the West as a violation of rights of minorities.
Last week, the National Planning Authority, technical officials at the Ministry of Finance, Parliament’s Committee on National Economy, Budget Committee and Finance Committee held a retreat over the economy. Officials said the Treasury is rethinking its fiscal strategy to increase domestic revenue collection, reduce borrowing, cut nugatory public expenditure and reduce supplementary budgets of government agencies spending above their vote.
Na Wameanza kutaka kupora pesa kama Jiwe kwenye pension funds,soon mifuko itazaliwa Madeni ya kufa mtu,Wastaafu watastaafu bila malipo au watasubiria baada ya miaka Mingi kupewa.
Other measures, Secretary to the Treasury Ramathan Ggoobi said, are to downsize state agencies, suspend purchase of vehicles, reduce workshops and foreign travel and freeze creation of new administrative and electoral units.
“We agreed that if this is not done, we will soon go into financial distress and as a country and be flagged by the IMF as a credit risk,” said opposition legislator Gorreth Namugga.
At least 100 state agencies have become a source of wastefulness in spending. The government also took commercial loans from domestic and foreign lenders at unfavourable terms to fund key priorities and splurge on luxuries for government executives.
“The Secretary to the Treasury said that should concessional loans fail; we should look at other sources. And pension funds, like National Social Security Fund are some of the options. It’s something we should start looking at because other countries have done it,” Namugga said.
Ugandan legislator Robert Migadde who chairs the Committee on National Economy told The EastAfrican that the government agencies agreed that borrowing from the domestic market should only be a last resort.
“The option is the local market through issuance of Treasury Bonds. And since it is NSSF and other pension funds that buy the Treasury Bonds, in effect this means we will be borrowing from the pension funds,” he explained.
In June, Uganda presented a Ush52.74 trillion ($14 billion) budget for financial year 2023/24, which the government targets to finance to the tune of 55 percent through domestic revenue, while the remainder is donor money that funds programmes in health, education, water, energy and infrastructure.
My Take
Maamuzi kama haya yangekuwa na Mantiki Kama Lingekuwa Azimio la AU Ili Nchi za Kiafrika ziazimie Kwa Pamoja na ziweze kusaidiana.
Kibano kinaendeleaHii ni mvua ya rasha rasha Bado moto wenyewe,wakaze fuvu waone kitakachojiri.
Yaani Nchi Ina njaa umaskini Hadi mwisho harafu inatunishiana Misuli na Matajiri.
Walisema watakomaa vipi tena Museveni unataka irudishe mpira Kwa kipa? 😂😂😂😂

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1702342562239963318?t=3Hx7MMJP20AFuXhCghdt7Q&s=19