Baada ya Harmo Rapa kufanana na Harmonize huyu naye Chibu Rapa aliyefanana na Diamond

don88

Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
53
Reaction score
84
Siku sio nyingi tangu story za jamaa aliyefananishwa na mwimbaji Harmonize zisambae kwenye mitandao ya kijamii. Akiwa kama msanii aliyepewa jina la Harmorapa kwakuwa yeye ni rapa na sio mwimbaji kama ilivyo kwa Harmonize.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Harmonize amepost picha ya kijana mwenye muonekano kama wa Diamond Platnumz kuanzia pozi mpaka style ya nywele na kwenye caption akaandika Chibu rapa.
 

Attachments

  • 16110541_692456400932509_2822927324708601856_n(1).jpg
    109.5 KB · Views: 380
  • IMG-20170113-WA0014.jpg
    21.7 KB · Views: 363
hawa underground waache kutokea kwenye migongo ya watu.. kufanana na msanii sio ishu kwanza nakuona mshamba mwishoye na madem zenu mtasema hvo Zarirap...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…