Baada ya Harmonize kutuhumiwa kuiba mdundo wa wimbo wa UNO, YouTube yauondoa kwenye akaunti yake

Tulimkataza asitoke wachafu ubishi wake ,sasa atakula jeur yke
 
Kushito kulia-Harmonize bila shaka hii haina makandokando.
Ngoma sio Kali kiivyo ila Ina mashairi mazuri beat imemuangusha tofauti na uno ambayo beat yake tu ni hit song ila ametumia technique nzuri ya kumtaja Simba Ili mashabiki wake wasapoti kazi yake na kweli hapa atawaweza watu wengi.
 
Kwa sanaa ya bongo jinsi ilivyo. Kupitia hili huyu dogo kapanda ngazi moja juu endapo itathibitika hajaiba yani wimbo utarudi km ndio unatoka upya na utapigwa promo sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…