Baada ya Harmonize kutuhumiwa kuiba mdundo wa wimbo wa UNO, YouTube yauondoa kwenye akaunti yake

Management imefeli mapema kabla ya mchezo kuanza! Kumsimamia mwanamuziki sio kuwa na pesa tu au kuwa chawa wake, lazima uujue muziki kweli kweli na fitina zake zote na unapomchukua msanii ambae ameshajengwa na wengine ujue kazi ilifanyika hivyo na wewe uwe mwamba kweli kweli.
Swala dogo kama hili haikupaswa lifikie hatua hii ya fedheha, huyo Mkenya alipoanza kulalamika tu watu wangesha kwea pipa na kumfuata issue ikaisha mezani mambo yakaendelea na sio kumpuuza! Pale WCB unapoona wakongwe kina Tale, Fella na Sallam usifikiri wanachoma mahindi pale.
 
kweli kabisa![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ngoma sio Kali kiivyo ila Ina mashairi mazuri beat imemuangusha tofauti na uno ambayo beat yake tu ni hit song ila ametumia technique nzuri ya kumtaja Simba Ili mashabiki wake wasapoti kazi yake na kweli hapa atawaweza watu wengi.
Hicho kipande anachomtaja simba hapa Clouds huwa wanaki mute.
 
Ngoma sio Kali kiivyo ila Ina mashairi mazuri beat imemuangusha tofauti na uno ambayo beat yake tu ni hit song ila ametumia technique nzuri ya kumtaja Simba Ili mashabiki wake wasapoti kazi yake na kweli hapa atawaweza watu wengi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] konde gang haiepukiki
 
Huyu Magix alikuwa anatafuka Kiki tu; nimesikiliza nyimbo zote mbili, hakuna cha biti wala nini. Ingawa zote zina time signature inyofonana na ziko katika scale inayofanana, ambalo ni jambo la kawaida kabisa katika muziki, lakini nyimbo hizo zina melodic contour tofauti kabisa. Kwa hiyo Magix kudai kaibiwa wimbo wake ni juhudi za za kutaka attention tu lakini hana haki yoyote.
 
Ngoma imerudi U TUBE, kuna wapuuzi tu wamezoea kucheza na kazi za watu, walizoea kumfanyia figisu KIBA kwenye account yake sasa wamemjumlisha na KONDE BOY maskini, ila hakuna mapambano rahisi kaza buti konde.
 
Mambo yanaanza kutaraaadadi.
Masikini mmakonde.
 
Figisu za Domo hizo.[emoji3][emoji3]

Si unaona hata anavyomfanyia Kiba kule mombasa alimzimiaga Mic.
Domo ana mtandao mkubwa wa figisu
[emoji125][emoji125]

Simba Babalao...eti Kiba hataki ShowOff .... pambaf kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…