Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
Wadau baada ya suala la CAG kuthibitika kuwa Rais Magufuli alivunja katiba ya nchi.
Sasa nataka na hili la Halima Mdee na genge lake nilifikishe mahakamani ili mahakama itamke kuwa Spika Ndugai alivunja katiba na anionyeshe kifungu cha Katiba kilichompa nguvu ya kuwaapisha kina Halima Mdee na genge lake huku alijua kabisa kuwa Katiba inatamka wazi kuwa mbunge lazima atokane na chama cha siasa.
Chadema ilikwisha wafukuza lakini yeye kwa kinga walizojipa na Rais Magufuli waliamua kuvunja katiba kwa makusudi na kuwaapisha.